lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wimbo – japhet zabron

Loading...

natamani nitoe shuhuda
kupitia wimbo
nimtete mungu
mataifa wapate sikia
mazuri ya mungu
vile ni mwema kwetu
sisemi bure bila mungu
tulivo navyo ni vya mungu
kufanikiwa ni mungu tu
ntabaki na mungu
nadhani wamwelewa mungu
si mungu wa kushindwa kitu
kwa wengi amefanya kitu
sasa wanasifu(hee)
asante kwa baraka
za upendo wako
najifunza wabariki
wapate na wengine eeeh
asante kwa baraka
za maisha yangu
najifunza wanipenda
nishare na wengine bwana
hee hee heee
nakutuma wimbo (wimbo)
uende kwa yule(kwa yule)
ukambariki nenda
mwambie hee hee
makuu ya mungu(mwambie heehee)
nimekuinua (watu)
nimekubariki nenda (usi hee hee)
nyumban kazini
uende na mungu
usishindwe kitu nendaaa
usi hee hee
hee hee
hee hee
usi hee hee
hee hee
hee hee
wimbo sema na yule
we rafiki wa wote
huna ubaguzi wimbo(nenda wimbo)
kwenye gari waambie
ofisini kazini
nyumban popote wimbo(nenda wimbo)
neno la bwana mungu wetu
likitamka juu ya kitu
halitarudi bila kitu
lazima litimie
umeomba kitu kwa mungu
huyu ndie mungu wa vitu
kupata na kukosa vitu
muamuz bado yeye(hiii hiii)
asante kwa baraka
za upendo wako
najifunza wabariki
wapate na wengine eeeh
asante kwa baraka
za maisha yangu
najifunza wanipenda
nishare na wengine bwana
hee hee heeee
nakutuma wimbo (wimbo)
uende kwa yule(kwa yule)
ukambariki nenda
mwambie heehee
makuu ya mungu(mwambie heehee)
nimekuinua (watu)
nimekubariki nenda (usi hee hee)
nyumban kazini(hee hee)
uende na mungu (hee hee)
usishindwe kitu nendaaa
wengine tu wakisikia
wimbo huu wanapona
waambie mazuri ya mungu
wimbo wimbo
wengine tu wakiskia
wimbo huu wanapona
nenda popote wimbo hee hee
nenda wimbo
hee hee heee
nakutuma wimbo (wimbo)
uende kwa yule(kwa yule)
ukambariki nenda
mwambie heehee
makuu ya mungu (mungu)
nimekuinua (watu)
nimekubariki nenda
(ufike hee)
nyumban kazini(hee hee)
uende na mungu (hee hee)
usishindwe kitu nendaaa
hee hee heee
nakutuma wimbo (wimbo)
uende kwa yule(kwa yule)
ukambariki nenda
mwambie heehee
makuu ya mungu (mungu)
nimekuinua (watu)
nimekubariki nenda
(ufike hee)
nyumban kazini(hee hee)
uende na mungu (hee hee)
usishindwe kitu nendaaa

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...