lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zama – jay honest

Loading...

(eazzy)
niko sure kama pako ya condiko
nakuteka ukulee tisa ka dingo
piga nduru hadi neiba achachishe
wacha kaza hizi vitu hazidumu
kaa nibanni nakiburn kama shada
kiongongo nakikataka na mapanga
na mandizi kinakula na manganda
na hii verse naimada kiwakanda

(hook)
zama zama
zama na kirubber
zama na mangeos
wakitucheki wanahama
hama,hama
nyundo nikuhama
jembe likilima
wakulimwa wanazama

(jay)
lei è una brutta piccola cosa
mi ricorda l’estate
un’emozione potente
che vibrazione
vibrate!!

say she got a body eh

ride it like a harley
hotties in the party
turn the base up get wild get gnarly

canada to kenya
know the flow worldwide
say she wanna fly here
shawty really wanna ride

she got a big black booty ima give her that pipe
roll a spliff that booty got me dreaming all night

e lei ha classe
lei non combatte
nanyonga monkey
najua unataka

like

(hook)
zama zama
zama na kirubber
zama na mangeos
wakitucheki wanahama
hama,hama
nyundo nikuhama
jembe likilima
wakulimwa wanazama
(cashney)
kui na akinyi ni madem maremare
njoki nduta patricia kina kare
ngues wa majira anadai nimdare
lakini bila rubber sioni nikikae
unajifanya kichwa mbaya pia si tulitae
napenda kula pamba
wenye jeggy na mathutha
make up dawa hizo sura zenyu mbaya
huddah nitamkataka lakini siwezi mare
nadai mali safi sidai hizo dura
nikuwashe kama vela nikuvute kama ngare
nazama tuu na raba takama hana chale
epukana na mdudu epukana na ajale

(hook)
zama zama
zama na kirubber
zama na mangeos
wakitucheki wanahama
hama,hama
nyundo nikuhama
jembe likilima
wakulimwa wanazama

kaa nibanni nakiburn kama shada
kiongongo nakikataka na mapanga

na mandizi kinakula na manganda

na hii verse naimada kiwakanda

(hook)
zama zama
zama na kirubber
zama na mangeos
wakitucheki wanahama
hama,hama
nyundo nikuhama
jembe likilima
wakulimwa wanazama

zama zama
zama na kirubber
zama na mangeos
wakitucheki wanahama
hama,hama
nyundo nikuhama
jembe likilima
wakulimwa wanazama

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...