lirik lagu nakupenda – jay melody
iwe giza baridi na upepo
iwe kuna mawingu na minyesho
your body baby joto (joto)
unafanya nijihisi special
unanipa sababu ya uwepo
kando yako we mtoto
my desire, we nipe dawa, mi mahutui
sijielewi ooh my god
shida ni nimekolea penzini
shida ni baby uko moyoni wewe
nakupenda we
nakutaka we
kwako sijiwezi
ooh my love
mpenzi we
roho yangu we
kwako sijiwezi
ooh my love
akili mwili baby
hasira zangu navituliza
ukiongea nasikiliza
yote sababu ya upendo
pili pili baby
vindimu chumvi ya kunynyiza
yani uroda kupitiliza
nimeumaliza mwendo
kiukweli, napendwa , nachanganywa
na haya ma raha
shida ni nimekolea penzini
shida ni baby uko moyoni, wewe
nakupenda we (anhaaa)
nakutaka wе (oh nana nana)
kwako sijiwezi
ooh my love (ooh my baby)
mpenzi wе (oh nonono)
roho yangu we (aaaah yayaya)
kwako sijiwezi
ooh my love
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu xpainwarriorx › lirik lagu shiver – xpainwarriorx
- kumpulan lirik lagu veerdnaa › lirik lagu цель – veerdnaa
- kumpulan lirik lagu blitzkrieg › lirik lagu standing still – blitzkrieg
- kumpulan lirik lagu souls of diotima › lirik lagu my roots – souls of diotima
- kumpulan lirik lagu big30 › lirik lagu just wait til october – big30
- kumpulan lirik lagu flemmings › lirik lagu desolate creation – flemmings
- kumpulan lirik lagu wilson paim › lirik lagu mulher e querência – wilson paim
- kumpulan lirik lagu mahesh mahadev › lirik lagu bhasma tripundra dharaya – mahesh mahadev
- kumpulan lirik lagu kgr › lirik lagu palermo cyberpunk – kgr
- kumpulan lirik lagu saabirose › lirik lagu it’s you – saabirose