lirik lagu bash kejani – jeshi (ke)
[intro: oloso]
oh, na, na, na, na, na, na
(bash imekua ikiendelea)
oh, na, na, na, na, na, na
(but sijui ni nini wanakujanga, there is just, like, a bash)
oh, na, na, na, na, na, na
oh, na, na, na, na, na, na
oh, na, na, na, na, na, na (kuna bash kejani)
(wasichana na vijana wanakuja, wanashikana, wanaingia, hapa)
oh, na, na, na, na, na, na
oh, na, na, na, na, na, na (kuna bash, kuna bash, kuna b*)
[pre*hook: oloso]
utapitia dirisha
kuna bash kejani, bash kejani (kuna bash)
kaa umeboeka mtaa
kuna bash kejani, bash kejani (kuna bash)
ata wambui na wanja (ata [?])
wako bash kejani, bash kejani (wako bash)
na mamboko wamejaa
wako bash kejani, bash kejani (wako bash)
[hook: oloso]
nasema bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
[verse 1: andybolo]
bash imeshika na iko kejani
funga mlango, watu wote wako ndani
mi sitaki tumefunza kina nani
lakini kama ni madem, waingie ndani
na ni mamzinga zimejaa, tuko flow, eh
na zimeshika, zime*nice zikitusho, eh
wale wasoro wamepitia diro, eh
ukik*mbuka, hivo ndio tuliwasho, eh
[pre*hook: oloso]
utapitia dirisha
kuna bash kejani, bash kejani (kuna bash)
kaa umeboeka mtaa
kuna bash kejani, bash kejani (kuna bash)
ata wambui na wanja (ata [?])
wako bash kejani, bash kejani (wako bash)
na mamboko wamejaa
wako bash kejani, bash kejani (wako bash)
[hook: oloso]
nasema bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
[verse 2: bh]
kuna bash kejani, kuna bash kejani, ati
leta nare ndio niwashe kingale, ati
ikiwaka, basi shika kibale, ati
mdogo mdogo, usijaze kitambi
juu ziki*slap, ziki*slap, basi kunywa kimaji, ay
leta moto ndio niwashe majani, ay
weka kachai na useti sukari, ay
(weka kachai na useti sukari, ay)
[pre*hook: oloso]
utapitia dirisha
kuna bash kejani, bash kejani (kuna bash)
kaa umeboeka mtaa
kuna bash kejani, bash kejani (kuna bash)
ata wambui na wanja (ata [?])
wako bash kejani, bash kejani (wako bash)
na mamboko wamejaa
wako bash kejani, bash kejani (wako bash)
[hook: oloso]
nasema bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (yeah, yeah)
kuna bash kejani
[verse 3: oloso]
leo tulikuwa na bash kejani
watoto ndani, hadi walami
lakini si unajua sisi kina nani?
wale mamorio wa huku mtaani
okay, kuna nduru gizani
pia nimekataa kutoa miwani
maswali mingi, achia afande
jina ni solo, uliza mandem
[hook: oloso]
nasema bash kejani, bash kejani (oh, na, na, na, na, na, na)
(oh, na, na, na, na, na, na) kuna bash kejani
bash kejani, bash kejani (oh, na, na, na, na, na, na)

lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu andrea berg › lirik lagu flieg mit mir fort – andrea berg
- kumpulan lirik lagu dandi wind › lirik lagu 2010 – dandi wind
- kumpulan lirik lagu bruce hornsby › lirik lagu crown of jewels – bruce hornsby
- kumpulan lirik lagu futuristic swaver › lirik lagu 10k – futuristic swaver
- kumpulan lirik lagu hego ft ozzy › lirik lagu validé – hégo ft ozzy
- kumpulan lirik lagu claudia leitte › lirik lagu eu fico / amor à prova / janeiro a janeiro – claudia leitte
- kumpulan lirik lagu queen captain among the sailors › lirik lagu carmen – queen captain among the sailors
- kumpulan lirik lagu hudson east › lirik lagu give me loving – hudson east
- kumpulan lirik lagu makar › lirik lagu goud (makar remix) – makar
- kumpulan lirik lagu elliott trent › lirik lagu just so you know – elliott trent