lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu deejay – jovi’al

Loading...

ninapozubaa
fikira zako hutenda kichwani mw*ngu yeah
kichwani mw*ngu wee yeiii
napigwa butwaa
jinsi ulivyo ziteka hisia zangu(wee yeii)
unajua unapitiliza
ongeza utundu beiby koleza
nifanye zuzu kwako zezeta
nicheze kama lamba lolo(nicheze)
wiki kwa mutima w*ngu(nicheze)
kisha tudigi digi
(nicheze, nicheze nicheze)

kama lamba lolo(nicheze)
wiki kwa mutima w*ngu(nicheze)
tucheze kama jigi jigi
(nicheze, nicheze nicheze)
unaniwasha washa roho
usinipe kimya kimya nipe zile zako
mie kwenye floor
kuja nichezе nawe iyee
cz boy am on fire uchomi iko juu
mi nishajimwaya kwa makarafuu, barafu
ushaniweza wee iyе iye iyee
unajua unapitiliza
ongeza utundu beiby koleza
nifanye zuzu kwako zezeta
mmmh…
unajua unapitiliza
ongeza utundu beiby koleza
nifanye zuzu kwako zezeta
aaah aah…
nicheze kama lamba lolo(nicheze)
wiki kwa mutima w*ngu(nicheze)
kisha tudigi digi
(nicheze, nicheze nicheze)
kama lamba lolo(nicheze)
wiki kwa mutima w*ngu(nicheze)
tucheze kama jigi jigi
(nicheze, nicheze nicheze)
(nichezee, nichezee, nichezee…)
nicheze kama lamba lolo(nicheze)
wiki kwa mutima w*ngu(nicheze)
kisha tudigi digi
(nicheze, nicheze nicheze)
kama lamba lolo(nicheze)
wiki kwa mutima w*ngu(nicheze)
tucheze kama jigi jigi
(nicheze, nicheze nicheze)
nichezee
kama unavyocheza klabu nicheze
nichezee
kama unavyocheza klabu nicheze
nicheze…nicheze…
watch video

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...