lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dekeza – jovi’al

Loading...

baby there is something about you
lets talk about love
lets talk about trust
kwako nimezama, nimechizi
nivute kwako aah
me niwe wako
mapenzi yangu kwako me naridhia
baby nipe yote asilimia
penzi lako hunny nakwamia

napenda navyojua wanidekeza
haswa unavyonibebeleza
you me me fall in love
when you hold me tight
nimenoga kwako wee
napenda navyojua wanidekeza
haswa unavyonibebeleza
you me me fall in love
when you hold me tight
nimenoga kwako wee
kwako sitoki aaah aah
nimezama sijiwezi
kwako sitoki oooh aah
nimеzama sijiwezi
dem call me arrow bwoy
my angеl sent from heaven
natural beauty god given
the way you light up my whole world
girl you make me go gaga
ah, ninapopiga roundi
nashindwa zawadi gani nikubuyie beiby
to put up a smile on your face
wewe ni wa dhamana
na nikirudi nyumbani
nashindwa nyimbo gani nikuimbie beiby
embe dodo, embe dodo my darling
am the one who gon’ die for you
spend all my money pon you
my beiby pon you
i say my beiby pon you
we do the digi digi with you
spend all my life with you
oh, kwako nimezama sitoki
mi sihami my beiby
kwako sitoki oooh yeah
nimezama sijiwezi
kwako sitoki (mama sitoki)
nimezama sijiwezi
nataka weii
nataka unipende
nataka unipende weeii
nataka weii
nataka weii
nataka unipende
nataka unipende weeii
nataka weii
napenda navyojua wanidekeza
haswa unavyonibebeleza
you me me fall in love
when you hold me tight
nimenoga kwako wee
napenda navyojua wanidekeza
haswa unavyonibebeleza
you me me fall in love
when you hold me tight
nimenoga kwako wee
kwako sitoki aaah aah
nimezama sijiwezi
kwako sitoki oooh aah
nimezama sijiwezi
kwako sitoki aaah aah
nimezama sijiwezi
kwako sitoki oooh aah
nimezama sijiwezi
nataka weii
nataka unipende
nataka unipende weeii
nataka weii
nataka weii
nataka unipende
nataka unipende weeii
nataka weii
dem call me arrowbwoy

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...