lirik lagu bidii yangu – jua cali
california vitu mzuri tunaendelea mbele
hakuna cha huzuni hapa furaha ni tele
kwa wale wamesahau mziki yangu bado ni genge
kwa wale wanatudharau tafadhali msifanye ni cheke
sitawadanganya jamaa nimerudi studio leo na naskia poa
na najua mnapenda kuskia sauti yangu kwa hivyo ngoma poa tu ndio ntazidi kutoa
unatulia nini bana amka tuzitoke
unapanguza nini bana wacha jasho imwagike kwote
ata ka kuna ukame tunajituliza na maji baridi
clemo roundi hii ameniambia niwakute na ngoma mbili mbili
ah morale morale wacha iwabambe
na mjipandishe juu ka bendera na muimbe hii ngoma ka national anthem
nataka tu heshima yako
nataka tu furaha yako
ndio ujue mahali bidii yangu imetoka
nataka tu heshima yako
nataka tu furaha yako
ndio ujue mahali bidii yangu imetoka
nimeacha watu wengi sana wakule roundi hii niachieni pia me ninone
safari yangu ningepeleka mbio lakini nimeamua kuenda pole pole
usifikirie nimechoka niko na nguvu ka zile ngombe nyiuona mtaani
sitachoka kutafuta majani
sitachoka kuendelea na safari
wacha mguu zangu zitembee
wasanii wote wa nguvu wapepee
kimaisha na kila kitu wanafanya
ni bidii na utafika pali unataka
ata nikigonga soo bado mziki zangu sitaacha kusambaza
nimeamka chali yangu na sioni tena ka ta lala
weka mattress kando tunaenda kazi
weka stress kando mambo ikue safi
morale morale watu w-ng’are
morale watu watambe
na mjipandishe juu ka bendera na muimbe hii ngoma ka national anthem
nataka tu heshima yako
nataka tu furaha yako
ndio ujue mahali bidii yangu imetoka
nataka tu heshima yako
nataka tu furaha yako
ndio ujue mahali bidii yangu imetoka
bidii yangu imelazimisha watu wengi sana waruke
asali bado nawapatia ntaiongeza sukari utamu isishuke
nikipanda tafanya vile roho yangu inataka
sitapotea tena ata nikiona wengine wakitukacha
pilipili niaje siukuje unisaidie kuakamata
lakini sijui itakua aje tukiwaroga sana
sijui watajisaidia aje tukiwabonda sana
tutawafundisha kupumzisha nyundo na bado waeze ku-flexx mkono vizuri
kuingia gym kupanua kifua kiasi na kupumua vizuri
nataka tu heshima yako
nataka tu furaha yako
ndio ujue mahali bidii yangu imetoka
nataka tu heshima yako
nataka tu furaha yako
ndio ujue mahali bidii yangu imetoka
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu virgenes adolescentes › lirik lagu aguja roja – vírgenes adolescentes
- kumpulan lirik lagu dead dawg bhz › lirik lagu letzter tanz – dead dawg & bhz
- kumpulan lirik lagu ivyson › lirik lagu pensamentos sujos (acústico) – ivyson
- kumpulan lirik lagu timurshak11 endonir › lirik lagu don’t sleep – timurshak11 & endonir
- kumpulan lirik lagu jon klaasen › lirik lagu best i can – jon klaasen
- kumpulan lirik lagu perfumed saturnine angels › lirik lagu bow down to your black hole – perfumed saturnine angels
- kumpulan lirik lagu lmathekidd › lirik lagu who cares? – lmathekidd
- kumpulan lirik lagu young hysan › lirik lagu rockstars (飛) – young hysan
- kumpulan lirik lagu number one son › lirik lagu these spaces inbetween – number one son
- kumpulan lirik lagu scylence › lirik lagu cold (feat. esrah) – scylence