lirik lagu chawa – k son rap
hayupo seriously muda wote msheshi.. mzushi mkushi..mzee wakitonga kazi kuu kusifia mabosi ni mtambo kama jo’s.. anaconnection ya kila pisi..hapa mjini naingia kila office,an*z*jua promo k*mzidi mandonga mtu kazi..kwa mdomo tu anajaza mtu shazi..ni chawa promax anasifa zaidi ya dully sykes..hachezei bahati man x..pembeni ya tajiri tag ubavu napiga tu madili..anapewa tu mashavu..mtu mzima haoni noma anatumwa kama mtoto anapewa tu makavu..tajiri hanuniwi huyu chawa anatukanwa lakini anajifanya nikiziwi..mbele ya tajiri chawa hana say..tajiri hakosei chawa amelipiwa kodi amepewa na usafiri na tajiri..ningekuwa shekh yahaya ningetabiri..chawa amejitoa sana akili..anataka kulipiwa kila bill..anatunza siri zote za tajiri zisitoke..chawa alikuwa mtu wa dini ila sasa anaishi kikafiri..sikuzote nik*mpamba tu tajiri..chawa hawezi kuchachawa tajiri akifulia chawa anapagawa..
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu jessica93 › lirik lagu asylum – jessica93
- kumpulan lirik lagu skizor 187 › lirik lagu knife sisters – skizor 187
- kumpulan lirik lagu neon sun › lirik lagu sound of freedom – neon sun
- kumpulan lirik lagu young legionnaire › lirik lagu year zero – young legionnaire
- kumpulan lirik lagu alvaro mamute › lirik lagu atelofobia – álvaro mamute
- kumpulan lirik lagu alvaro lancellotti › lirik lagu balé – alvaro lancellotti
- kumpulan lirik lagu sherry ou › lirik lagu guet – sherry-ou
- kumpulan lirik lagu sleeping with sirens › lirik lagu my life – sleeping with sirens
- kumpulan lirik lagu restiform bodies › lirik lagu a pimp-like god – restiform bodies
- kumpulan lirik lagu lex lu › lirik lagu stronger – lex lu