lirik lagu amka – kalimani feat. jasmine
(kalimani)
ilibidi isolation nijue nini muhimu kwa life/
k*mbe chips ni viazi cha muhimu ni wife/
daily drink si lazima, una’eza sacrifice/
hata mazishi upime watu plus hesabu za rice/
tena nika*realize si kila mtu ni wise/
ana’eza fuata epl na hawezi fuata advice/
asote ju ya eabl na hawezi hata sanitize/
ni kama siku ya ku*die terms and conditions apply/
bana! aki walai, wazimu ni nani?/
ni ka the more wanavyosoma ndo wanachizi kindani/
eti wafwasi ndio kondoo k*mbe mafisi kiplani/
ukidai kujisitiri ndio risiti huvanish/
k*mbe ni vanity imejaa kwa humanity/
kujifanya middle class hadi ukatwe ki*salary/
binadamu ndio *n*leta story za inequality/
na ukicheki tu visawa si sote tuko sawa//
(vivianne jasmine)
changamka… inabidi tuchangamke…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
changamka… inabidi kuchangamka…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
(kalimani)
ilibidi isolation nijue k*mbe siasa haidai/
chunga jirani yako pia ndio ye mwenyewe akufae/
k*mbe kampuni za kikenya ziko na manufaa/
yule unadhani ataishi ana’eza kua akufae/
(walai) si lazima tujazane kwa ndae/
una’eza fika tu vipoa muhimu uko alive/
mi naomba, tutaimada hii corona/
kusonga, na we mwenyewe utaona/
ma*biz zitarudi bila shaka huko gikomba/
walami watakuja tutavuna hizo ma*dollar/
madonda hawatakonda, mjei watabonda/
vinyozi na saloon bado watapaka poda/
nairobi, mombasa, kisumu… na ocha/
kwa dua za maulana bado si tuko pamoja/
changamka, inadai kuchangamka/
kila kitu tunaweza bora tu tumeamka//
(vivian jasmine)
maisha yamebadilika/
natamani tutakuja shinda/
j*po kuna pandashuka/
bado tutakuja shika/
sa inabidi kukaa mtaa/
na mikono kusafisha/
kama tumechangamka/
hili janga litakuja isha/
changamka… inabidi tuchangamke…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
changamka… inabidi kuchangamka…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
hili jangaa…
hili jangaa…
hili jangaa…
hili janga lita die, hili janga lita die..
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu jandry palms › lirik lagu meant to be – jandry palms
- kumpulan lirik lagu m shey › lirik lagu 00:00 freestyle / éjfél – m-shey
- kumpulan lirik lagu wing klan › lirik lagu siamo nel club – wing klan
- kumpulan lirik lagu heart of god church › lirik lagu river – heart of god church
- kumpulan lirik lagu kid named chicago › lirik lagu jamie all over – kid named chicago
- kumpulan lirik lagu conway twitty loretta lynn › lirik lagu oh honey, oh babe – conway twitty & loretta lynn
- kumpulan lirik lagu frank walker two feet › lirik lagu day by day – frank walker & two feet
- kumpulan lirik lagu туманов tumanov › lirik lagu удушье интро (suffocation intro) – туманов. (tumanov.)
- kumpulan lirik lagu magnum › lirik lagu your blood is violence – magnum
- kumpulan lirik lagu criminal mane › lirik lagu tn boyz – criminal mane