lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu penzi jipya – kapaso bkp

Loading...

j4d sound
shiiiii beberu
adasco m2 mbad
atupash*gi viporoo atupashi makabichi
tukiachana tumeachana haina ku go back
atumezi matapishi haturudigi reverse
yaani tukiacha tumeachana haina ku go back

sawa ndio tuliishii tukaishia
kwani hamsini zako sinilikupatia
sijui kipi unang’ang’ania
na bado unamtangazia bwana ako anakibamia

ngoja nikuambie ukweli
sasa hivi nina penzi jipya
kwa huyu mshenzi nilie nae
ndio ana wivu wa kuua
acha nikuambie ukweli
sasa hivi nina penzi jipya
kwa huyu mjinga nilie nae
ndio ana wivu wa kuua

aaaah

yaani usiombe upende usipopendwa
mpenzi wako awe na mtu mwingine
ufanye chumio mwenzako ndio anapendwa
unaeshare nae ndio ivyo uumjue
niliachana nae j*po nilimpenda
kwa uchungu nateswa navidonda
potelea pote mawazo mwanakwenda
najipa moyo naamini
nitapendwa ipo siku
haikupita siku nzima bila kunitambia
eti mpenzi wake anakali ndinga
hakujali maumivu mimi ninayopitia
kwa mungu hakuna kikubwa chini ya anga
hakujua
ngoja nikuambie ukweli
sasa hivi nina penzi jipya
(oooh sasa hivi napenzi jipya)
kwa huyu mshenzi nilie nae
ndio ana wivu wa kuua(wakua wakuua)
acha nikuambie ukweli
sasa hivi nina penzi jipya
(sasa jipendekeze akuumize akuumize)
kwa huyu mjinga nilie nae
ndio ana wivu wa kuua
shii wa kuua

oya bkp brand bigboss rass
oya kaizaer larden we ndio ndugu yangu
wakali wa road nyi ndio chafu zangu
oya mwanangu taso we ndio ndugu yangu
mia tatu thelathini na tatu oya nyi wanangu
we shamtecheda we ndio chafu yangu
baraka mkande we ndio kazi yangu
k*mi na tano ishirini na tano checheee
we kinyani
kapaso hapa geneius from tanzania
sura ya baba miaka ya babu
mbuzi ang’ati

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...