lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sina lawama – kebby boy

Loading...

verse 1:

jua nakupenda pia wanipenda
buheri mzima nikivishwa sanda
umechenji ghafla we nakwenda
wapi unaenda?
nilidhani malezi bora
haki sawa kwa mwanamke
upendo w-ngu ukanipora
nina musiba pekee
ningekua kama chura
iwe tafu ulonipiga teke

pre hook
heshima na vyeo vyote dhidi yako
upendo na moyo wote penzi lako
mapenzi maradhi naumiya
nakulia naumwa koo
kichwani mambo mengi
hadi mapenzi nasema mwikoo!

chorus
sina lawama!!!
kwanini ulinitesa?
sina lawama!!!
nakuzua visa
sina lawama!!!
aaaaa aaaaan
sina lawama!!!
pia nilikupenda saana
sina sina sina!!!
sina imanii
sina sina sina!!
sina lawama
sina sina sina!!!
ooh sina raha
sina sina sina!!!
sina baby
sina sina sina!!!
siiiiiiiiiiiina!!!
sina sina sina!!!
nilikupenda saana

verse 2
yani baby hujali pete
nilokuvisha na hali tete
wendo w-ngu wa siku zote
kila mahali niwenawe nikufwate
unajua mapenzi jeraha
uwezi kupona j-po kwa pesa
uliko hutopaga raha
majungu deile umenasa
fimbo ya mbali
kwa nyoka ni kama zali
unakwenda mbali
nami ndo nyuki we w-ngu asali

pre hook
heshima na vyeo vyote dhidi yako
upendo na moyo wote penzi lako
mapenzi maradhi naumiya
nakulia naumwa koo
kichwani mambo mengi
hadi mapenzi nasema mwikoo!

chorus
sina lawama!!!
kwanini ulinitesa?
sina lawama!!!
nakuzua visa
sina lawama!!!
aaaaa aaaaan
sina lawama!!!
pia nilikupenda saana
sina sina sina!!!
sina imanii
sina sina sina!!
sina lawama
sina sina sina!!!
ooh sina raha
sina sina sina!!!
sina baby
sina sina sina!!!
siiiiiiiiiiiina!!!
sina sina sina!!!
nilikupenda saana

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...