lirik lagu confidence – kelvin maxi
upo nami
kila siku kila saa
sina hofu sina uoga baba
toka zamani
ulinijua haswa
ukanitenga ukanitakasa
umesema nisiogope
maana upo nami
(maana upo nami)
jehova shalom
mfalme wa amani
(mfalme wa amani)
jasiri kama simba
nipo imara siwezi yumba
n*z*jua siri za muumba
hatima yangu huwezi yumba
jasiri kama simba
nipo imara siwezi yumba
n*z*jua siri za muumba
hatima yangu huwezi yumba
you give me confidence
more confidence
oh god
you give me confidence
more confidence
adonai
you give me confidence
more confidence
oh god
you give me confidence
more confidence
adonai
(unanipa ujasiri sa… mi nadunda)
(unanipa ujasiri sana adonai)
(unanipa ujasiri sa… mi nadunda)
(unanipa ujasiri sana adonai)
unanipa ujasiri kama simba
na sababu bilioni za kuimba
maana kwa imani napata
kila nnachotaka
hata nge na nyoka
kwa mguu nawaseta
(confidence)
umenifanya star
mpaka mchana kamili nang′aa
siitwi tena nsiyefaa
mbali na mikosi na balaa
(confidence)
baba ukisema nasikia
naijua sauti yako
wee… ni kweli na njia
na uzima upo kwako
wee… ni simba najua
nami ni uzao wako
jasiri kama simba
nipo imara siwezi yumba
n*z*jua siri za muumba
hatima yangu huwezi yumba
you give me confidence
more confidence
oh god
you give me confidence
more confidence
adonai
you give me confidence
more confidence
oh god
you give me confidence
more confidence
adonai
(unanipa ujasiri sa… mi nadunda)
(unanipa ujasiri sana adonai)
(unanipa ujasiri sa… mi nadunda)
(unanipa ujasiri sana adonai)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu stevan › lirik lagu call // break down – stevan
- kumpulan lirik lagu aaron shone › lirik lagu dark matter – aaron shone
- kumpulan lirik lagu backpack jax › lirik lagu remember the future – backpack jax
- kumpulan lirik lagu young diamond › lirik lagu thanks – young diamond
- kumpulan lirik lagu hot water › lirik lagu again and again – hot water
- kumpulan lirik lagu sophia › lirik lagu mort subite – sophia
- kumpulan lirik lagu harry chapin › lirik lagu story of a life [live] – harry chapin
- kumpulan lirik lagu asco › lirik lagu pink notes – asco
- kumpulan lirik lagu red bull music › lirik lagu grime-a-side 2016 finals 2016 leicester vs derby – red bull music
- kumpulan lirik lagu daphne khoo › lirik lagu instrument – daphne khoo