lirik lagu damu ya salaam – khadja nin
tangu iraki mpaka amerika
wako karibu yakufunga vita
mi mama mzazi nauliza
ni nani ata linda watoto wetu
bwana hussein anasema:
“nataka salaam”
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mw-ngiwa
ni ya wadogo na watoto tu
mimi huyu nakosa njiya
yakusikika kwa wakubwa
kwa hakika tulijioneya
vita ya kwanza ilizala fitina
bwana hussein anasema:
“nataka salaam”
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mw-ngiwa
ni ya wadogo na watoto tu
nakata matumaini
ju kwa vile naona
wakubwa hawajali macozi ya
mutu mudogo -n-liya wake
siraha ya amani ilikuta kwake
mr.clinton anasema:
“nataka salaam”
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mw-ngiwa
ni ya wadogo na watoto tu
mr.clinton anasema:
“nataka salaam”
mi si aminiye neno ile
damu yaliyo mw-ngiwa
ni ya wadogo na watoto tu
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu misty eyed › lirik lagu piece by piece – misty eyed
- kumpulan lirik lagu lil supa › lirik lagu mierda – lil supa
- kumpulan lirik lagu dro kenji › lirik lagu demon time* – dro kenji
- kumpulan lirik lagu slxdio › lirik lagu speechless too (nas “speechless” remix) – slxdio
- kumpulan lirik lagu dorothy moore › lirik lagu talk to me/every beat of my heart – dorothy moore
- kumpulan lirik lagu drizzy frvncis › lirik lagu mars bar – drizzy frvncis
- kumpulan lirik lagu l m a rubbi › lirik lagu absolute zero (og version) – l.m.a. rubbi
- kumpulan lirik lagu truth ccm › lirik lagu what does he have to do – truth (ccm)
- kumpulan lirik lagu corook › lirik lagu bad friend – corook
- kumpulan lirik lagu victor crone › lirik lagu wind in my sails – victor crone