lirik lagu free (sina mali, sina deni) – khadja nin
ahiya, ahiya
kwa baraka
mimi napona
kabisa, ni hajabu
sina mwili tena
niko sawa pepo
mimi maskini
sina mali, mali, sina deni
mali yangu baba
nanyesha kama mvua
naruka kama ndege
nacheka kama mtoto
ahiya, mama ahiya
sina haja, ya kitu
mimi napona
i′m free (ah*ah) kama maji (ah*ah)
natembea mpaka katika pori
mimi, mimi maskini
sina mali, mali, sina deni
mali yangu baba
naota kama maua
napita kama nyota
nawaka kama jua
pole pole mama
wakati w*ngu umefika, mimi napona
i’m free, kama hewa
naingia mpaka fasi inapenda
mimi, ni maskini
sina mali, mali, sina deni
mali yangu baba
naona kama macho
nawaka kama moto
nalia kama ngoma
i′m free (oo*oo) kama maji (oo*oo)
natembea mpaka katika pori
kama hewa, kama macho, kama nyota, kama maji
kama mimi leo, mimi napona
i’m free (kama hewa, kama macho)
i am free (kama nyota, kama maji)
kama mimi leo, mimi napona
ahiya (ah*ah) mama ahiya (ah*ah)
sina mali, mungu, sina deni
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu thornetta davis › lirik lagu you haven’t done nothin’ – thornetta davis
- kumpulan lirik lagu robertidk › lirik lagu in the aeroplane over the sea – robertidk
- kumpulan lirik lagu scotty seed › lirik lagu stain on my dream – scotty seed
- kumpulan lirik lagu mom4eto › lirik lagu murda baby – mom4eto
- kumpulan lirik lagu 2pac › lirik lagu happy home (o.g. version) – 2pac
- kumpulan lirik lagu separatists › lirik lagu i’ve been awakened – separatists
- kumpulan lirik lagu giana factory › lirik lagu dirty snow (trentemøller remake) – giana factory
- kumpulan lirik lagu jaime morey › lirik lagu amanece – jaime morey
- kumpulan lirik lagu cheb bilal الشاب بلال › lirik lagu darha lek raiek – cheb bilal الشاب بلال
- kumpulan lirik lagu mandala › lirik lagu little sunshine – mandala