lirik lagu hao – khaligraph jones
yeah, you gotta love it
eyo whats happening not (hao)
og (hao) masauti kenyan boy (hao)
whats good? (hao)
wanaona mw*ngaza
ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
lakini tunapambana
ila mziki majanga lazima tu wanene
wanajifanya wanapenda (hao)
ila wanadidimiza (hao)
wanajifanya wanapenda (hao)
ila wanadidimiza (hao)
kukuwa celebrity kenya ni kujitolea (yeah)
ku appologise ia watu haujakosea (preach)
ka we ni msofti utasema wanakuonea (why?)
ka we ni mjanja utabidi umezoea (now)
watakutusi ndio u*catch na wacheke
wakishakutusi mara that, hao wasepe
udaku inapigwa na kash*sh*
ukianguka kwa sakafu unapigangwa mateke
kukua celebrity gharama (gharama)
ju wakishakujua ni lawama (lawama)
bahati akianza alikuwa mtoto wa mama
sai twitter mmegeuziwa ye ni mtoto wa diana
hakuna huruma siri ni kulenga tu (kulenga tu)
coz if it ain’t don’t k!ll you then inakujenga tu
na bado kuna fans wanakupenda tu
but bado usijali hivo ndo vile kuenda boo
si nyi hu*troll simple boy ka kila siku
but kipchoge akivaa the same mnamsifu
inauma kupambana na hizi issues
but brathe usijali we zoea hizi vitu
wanaona mw*ngaza
ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
lakini tunapambana
ila mziki majanga lazima tu wanene
wanajifanya wanapenda (hao)
ila wanadidimiza (hao)
wanajifanya wanapenda (hao)
ila wanadidimiza (hao)
kukuwa celebrity kenya ni kujitolea (why?)
your downfall ndo mbogi huw*nga inangojea
leo watakuchocha vile uko juu unapepea
but kesho ka shetani watakukemea (riswa)
remember esther arunga na huzzy yake h*llon?
it’s so sad wamefungwa ju sai ni ma felon
walitrend tukawacheka when they needed help (why?)
tukaangalia when they busy destroying themselves
ni poa tuweke imani kwa yesu
woi jimmy gait si ye huona siku mrefu
tumemtroll bila kujiuliza question
like what if that n*gga fell in depression?
papa denis alidedi tukamchangishia
tuka*type rip tukimpandisia
ati tuko sad na tunajua vile alikapitia
we tu ni ku*troll ni ka haujui kitu inaeza kufanyikia
mulamwa ameshachoka amedai zii
ju ya matusi toka twitter mpaka ig
mi ni gangsta mkinitroll haiwasaidii (kwenda!)
buda og huwa zogo shinda 5g (staki!)
mmefanya mpaka pozee amewacha injili (hahhaha)
ameacha kuimba mangoma za holy spirit
ju mnapenda ongeza chumvi pia na pilipili
10 over 10 hamtaki sai mnatusi willis
as if mmekuwa forced kutazama
nyi ni fans in denial so of*course mnajifanya
kukuwa celebrity kuwa ready for drama
omba god akubless na self*esteem ya pastor ng’ang’a
na confidence ya orie rogo manduli
na will*power ya john pombe magufuli
and though wengi watasema ni kiburi
but that’s the only way utawezana na hawa mabully
wanaona mw*ngaza
ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
lakini tunapambana
ila mziki majanga lazima tu wanene
wanajifanya wanapenda (hao)
ila wanadidimiza (hao)
wanajifanya wanapenda (hao)
ila wanadidimiza (hao)
watakushow ati hauwezi fika mbali (hao)
but ni wivu tu jo wamejaa makali (hao)
comment section wamejazana upuzi (hao)
lakini dms same haters bado groupies (hao)
ukikafunga hivi waskiangi fiti (hao)
wanatamani kuishi maisha we unaishi (hao)
so hata waki*hate haina ngori uko mbele (hao)
get a life n*gga punguza kelele (hao)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu wild wes › lirik lagu won’t go out like this – wild wes
- kumpulan lirik lagu avelino › lirik lagu depth (skit) – avelino
- kumpulan lirik lagu bivolt › lirik lagu entre tu e meu som – bivolt
- kumpulan lirik lagu nanookidd › lirik lagu mr. denzel crocker – nanookidd
- kumpulan lirik lagu lil dicky › lirik lagu the hot seat freestyle – lil dicky
- kumpulan lirik lagu p type › lirik lagu 광화문 (gwanghwamun) – p-type
- kumpulan lirik lagu sarkodie › lirik lagu your waist – sarkodie
- kumpulan lirik lagu tabs › lirik lagu by myself – tabs
- kumpulan lirik lagu johnny rodriguez › lirik lagu easy come easy go – johnny rodriguez
- kumpulan lirik lagu enterline › lirik lagu new – enterline