lirik lagu katika – kizazi sana gang
verse 1: tala boy classic
bambika bambika mwenye hii party after party ukiwa low moods basi shika glass gonga cheers, zikipanda jitote kimasomaso kwenye flow aah, pinda pinda mgongo mach twende kama kangaroo, rembua rembua kiuno slow slow kama windmill masela shika uno sugua sugua bedua bedua aah…
chorus:
napenda unavyo katika kiuno zungusha, napenda unavyo zungusha kiuno katika napenda unavyo katika ah kiuno zungusha napenda unavyo zungusha kiuno katika…
verse 2: rula mashairi
zungusha kiuno daah usiogope maana mwili wako we kata kata kama go gaga, wakiona washangae wenye wivu wazubae, ah huu muda wetu wa k*make chapaa, leo leo hatutaki balaa karibia speaker huku ukitingisha ingia kati kata na ujirushe, jasho litoke likutoteshe, furahia form onyesha mbwembwe leo tunaua kenge, hatutaki rende,brother ruka sister rushwa, ingia kati ruka sasa, kila table rula ndio lebo, tingisha nati kama uko nazo….
chorus:
napenda una katika kiuno zungusha napenda unavyozungusha kiuno katika napenda unavyo katika ah kiuno zungusha napenda unavyozungusha kiuno katika
verse 3: tala boy classic
onyesha uwezo wako wote wa kukatika, twende kingololo au kiskelewu dance, mizuka ikiamkaa kamatia chini kwa chini, sister fanya kama una pika tingisha tingisha, jishebedue kama vixen wa jeje au snura wa chura barn barn barn aah…
verse 4: methali mbili
napenda unavyorembua mos mos na mapoz sitokusumbua, kukatika unaweza kwako sitoteleza paka uniweke kwa jeneza, kiuno kitam ntakupeleka watamu, mwisho hadi lamuu yeeh…
bridge: cheza nasi leo, hatutaki kero (x 2)
chorus:
napenda unavyo katika kiuno zungusha napenda unavyo zungusha kiuno katika napenda unavyo katika kiuno zungusha napenda unavyo zungusha kiuno katika
outro:
yeeah tala boy right here i gat ma hommies rula mashairi, methali mbili, r.k, hashim, frank zagarino, yeeah, e*max, ruflee on de track, rich kids graphics we nailed it, rashnizzo, kizazi sana # 001, wapi shaban ranks wewe leo tunakiwakisha
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu milgram ユノcv 相坂優歌 yuno cv yuuka aisaka › lirik lagu tear drop – milgram ユノ(cv.相坂優歌) (yuno (cv. yuuka aisaka))
- kumpulan lirik lagu kany › lirik lagu x kani – kany
- kumpulan lirik lagu sandro mai › lirik lagu al bar – sandro mai
- kumpulan lirik lagu kenzie › lirik lagu anatomy (live from vevo) – kenzie
- kumpulan lirik lagu eartheater › lirik lagu crushing – eartheater
- kumpulan lirik lagu monsoon cortex › lirik lagu change – monsoon cortex
- kumpulan lirik lagu satuko › lirik lagu pos 2 invoker – satuko
- kumpulan lirik lagu ferdi tayfur › lirik lagu haklı değil mi – ferdi tayfur
- kumpulan lirik lagu ермак yermak › lirik lagu хозяин (master) – ермак! (yermak!)
- kumpulan lirik lagu prince pierrot › lirik lagu sc3n3 g1rl – prince pierrot