lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu haujamskia – ksonrap

Loading...

hauk*mskia babuu alivyokwambia kimbia/
hauk*mskia salut alivyosema chunga sana/
sikio lakiziwi haukusikia ya wahenga/
kifo jela au za umataasisi hak*mskia langa?/
hauk*mskia jaymoe aliposema ulimwengu ndo mama/
hamk*mskia roma/
ulikuwa wapi wakati tmk wanapiga mapanga/
rafael hauk*msikia saganda/
wakati wagosi wapotanga au dani msimamo siku nzuri inavyokwenda/
hak*mskia balozi dola ubalozini/
sasa yupo unyamwezini marekani/
ungeona mbali ungemkiliza afande wa darubini/mkali wa hizi rhymes
sasahiv ni waziri ila alianza kitambo hicho mwanafalsani/
unaweza k*muita binam wa mabinti dam dam/
please forgive me kama hauk*msikia majani watu waligonga nakala kwa mamu/
haukuwaskia kikosi wakati wanapiga mizinga pale block 41 (kino)/
ilikuwa ni noma usiuze wakati kiraka rado ana mwaga sana wino/
hauskia wakati anatubu chidibenzino haukukaa tayarl kunamskiliza jos mtambo kigambonino/
ulikuwa kijijini sitimbi wakati asuu anatamba na misambano/
kulikuwa na mwinjuma mumini kabla ya hizi amapiano/
umekosa vingi hauk*mskia hongera wa michano/

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...