lirik lagu fanya sana – kyki
[hook]
nafanya sana, nafanya sana
kila kitu nafanya sana
nikianguka, nainuka nafanya tena
nafanya sana, kila kitu nafanya sana (fanya sana)
nafanya sana, nafanya sana
kila kitu nafanya sana
nikianguka, nainuka nafanya tena
navuta sana, wanasema ni laana (najua maana)
[verse 1]
oooh! i’m on the road like my last name’s go
na-disinfect rappers, shares ziko dettol
kipaji kubwa though, 5 feet tall
nitajigamba sana nikihama rental
na sina marafiki isipokuwa mashabiki
kyki viki mazishi ya wanafiki
navuta mizizi kama n-z-zi ki-kichizi
nawavuta na mziki, si hirizi, kykiiiki!
napenda social media though i’m not social
you must pay my money before that show
on the mic, i’m the doctor so i don’t consult
players score no goal, they hit my post
[hook]
nafanya sana, nafanya sana
kila kitu nafanya sana
nikianguka, nainuka nafanya tena
nafanya sana, kila kitu nafanya sana
nafanya sana, nafanya sana
kila kitu nafanya sana
nikianguka, nainuka nafanya tena
navuta sana, wanasema ni laana
[verse 2]
oooh! nina piercings, sina tattoos
i give soul food like erykah badu
i cook like i’m the paris ratatouille
and i rap like kenyan rat-a-tat
siko spoilt but i stunt like da brat
and to my haters i am blind like a bat
and this year nitawapa heart attacks
make no mistake, i do this for my stacks
even heaven knows that i’m a star (shining bright)
schooling rappers, yet i’m not a lecturer
nimechizi kwenye medulla, ndio maana nywele medusa
strange creature, i’m not regular
[hook]
nafanya sana, kila kitu nafanya sana
nikianguka, nainuka nafanya tena
nafanya sana, kila kitu nafanya sana (fanya sana)
nafanya sana, nafanya sana
kila kitu nafanya sana
nikianguka, nainuka nafanya tena
navuta sana, wanasema ni laana
nafanya sana, nafanya sana
kila kitu nafanya sana
nikianguka, nainuka nafanya tena
nafanya sana, kila kitu nafanya sana
[verse 3]
najua ninachokitaka maishani
so usishangae nikilima mashinani
hii show na-run kama padre kanisani
n-ggas thirsty ama ni cotton mouth, wapewe dasani
mtaani no mitani ni money moves na majirani
no monkey business, sipendi nyani
maskani sipatikani, usingizi sipati
nafanya sana yaani hadi nijenge beach house nyali
mtanikoma mimi nyinyi (nafanya sana)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu joey trap › lirik lagu t-rex freestyle – joey trap
- kumpulan lirik lagu lns masu yung lasagna › lirik lagu leather. – lns masu & yung lasagna
- kumpulan lirik lagu alexkr › lirik lagu you were mine – alexkr
- kumpulan lirik lagu io perry › lirik lagu come on home – io perry
- kumpulan lirik lagu domani › lirik lagu forever – domani
- kumpulan lirik lagu columbia mills › lirik lagu octopus – columbia mills
- kumpulan lirik lagu mally bandz › lirik lagu nothing lasts forever – mally bandz
- kumpulan lirik lagu shinyribs › lirik lagu hoods of cars – shinyribs
- kumpulan lirik lagu lequipage › lirik lagu tout ce qu’il y avait – lequipage
- kumpulan lirik lagu capoxxo › lirik lagu stressed – capoxxo