lirik lagu dounia – lady isa
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
oooh mwanangu dunia ina mambo
sikia maneno nakuambiaga
mpe roho yakoo mola wako
heshima kwa wazazi eeh mwanangu
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
chunga mwenzio atakudanganya
kwa yoyote ile atapenda yeye
kipenda rohoo kila mtu na yake
yake ni yake na yako ni yakoo
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
mwendo wa kobee
mayelemayele
mwendo wa chui
kuwindawinda
mwendo wa nyoka
luk*mbaluk*mba
mwendo wa ngalama
kwa njia ya paradii
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
taabu na raha ina kungojea
inategemea akili yako
tafuta eeh… utapata eeh
k*mbuka maneno nakuambiaga
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
chunga mwenzio atakudanganya
kwa yoyote ile atapenda yeye
kipenda roho kila mtu na yake
yake ni yake na yako ni yakoo
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
taabu na raha ina kungojea
inategemea akili yako
tafuta eeh… utapata eeh
k*mbuka maneno nakuambiaga
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk*mba luk*mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu kim na hee › lirik lagu 착한 사랑 (good love) – kim na hee
- kumpulan lirik lagu pharie › lirik lagu bad boy vibes – pharie
- kumpulan lirik lagu neken chuwang › lirik lagu no condition is permanent – neken chuwang
- kumpulan lirik lagu rogue science › lirik lagu posse cut – rogue science
- kumpulan lirik lagu charles babis › lirik lagu murder in black & white – charles babis
- kumpulan lirik lagu nykso › lirik lagu côté bleu – nykso
- kumpulan lirik lagu intellegentz fgteev duddy › lirik lagu ant bull full song – intellegentz (fgteev duddy)
- kumpulan lirik lagu denzel curry kenny beats › lirik lagu track07 (georgia anne muldrow version) – denzel curry & kenny beats
- kumpulan lirik lagu rjldiablo › lirik lagu sus freestyle – rjldiablo [pass]
- kumpulan lirik lagu scum us › lirik lagu reject – scum (us)