lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu i miss you – lady jaydee

Loading...

aha aha we acha tu i miss you
ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa
tease on my pillow nakuwaza days and nights

nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha

pappy kojo {?}

aha aha we acha tu i miss you
ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa
tease on my pillow nakuwaza days and nights
nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha

kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba mmh
itakuwa ngumu sana na nikawaza mmh
where you are you are far away comeback home
it’s not the same without you baby come back home

i need you baby come back home
tease on my pillow eeh
narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
haielezeki oh i miss you

aha aha we acha tu i miss you
ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa
tease on my pillow nakuwaza days and nights
nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha

kila siku nafungua pazia asubuhi
naangalia nje njiani
nikidhani pengine siku utarudi
ili tena niwe furahani natafuta nyayo zako
narudi nijifariji karibu utarudi nyumbani
haielezeki oh i miss you

aha aha we acha tu i miss you
ingawa nakufikiria baba nakuwaza kila saa
tease on my pillow nakuwaza days and nights
nimechoka nipo njiani naamini we jirani unipe furaha

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...