
nimekuchagua - lava lava lyrics
mmm, yeah
ah! baby oh!
mwenzio nina habari
uje nkung’ate sikio
sina ujanja oh
mi kwako dhofuli hali
nimeshaweka kituo
nimenunua kufuri
na mlango nishafunga
nakukabidhi funguo
nenda iweke pazuri
na misumari gonga
zungusha pia uzio
ooh
staki wa vichochoroni
zipu nshafunga kwako weeeh
iweje nkuweke rolehani
na tetenasi nkulete
staki wa vichochoroni baby
zipu nshafunga kwako weewe
iweje nkuweke rolehani oh baby
na tetenasi nkulete
iyaaaa
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey wee
nimekuchagua oh honey
ooho hey!
hana maana nilomridhia oh
aliniacha nikitapatapa
hakuwa na huruma nilipomkosea
mi binadamu sijakamilika
akasahau mapenzi hayana kabila wala kwao
yoyote anatunukiwa
uhmm unayemuona kwako tahira ndo uyo uyo
mwenzako moyo anaujua
ya nini baby
staki wa vichochoroni
zipu nshafunga kwako wee
iweje nkuweke rolehani
na tetenasi nkuletee
staki wa vichochoroni baby
zipu nshafunga kwako weeweeh
iweje nkuweke rolehani ooh baby
na tetenasi nkulete
iyaaaa
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey we
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
Random Song Lyrics :
- truffa dell'amore - nader shah lyrics
- dream never dies - lo moon lyrics
- touch me 2007 - samantha fox lyrics
- it breaks me down - parellite lyrics
- every monday morning - 800 cherries lyrics
- off the act - lul icey lyrics
- heaven only knows (prod. mira) - ezio miller lyrics
- can't stop writing songs about you - kylie minogue lyrics
- boliche - young axe & guilewa lyrics
- divine light - brother ali lyrics