lirik lagu nimekuchagua – lava lava
mmm, yeah
ah! baby oh!
mwenzio nina habari
uje nkung’ate sikio
sina ujanja oh
mi kwako dhofuli hali
nimeshaweka kituo
nimenunua kufuri
na mlango nishafunga
nakukabidhi funguo
nenda iweke pazuri
na misumari gonga
zungusha pia uzio
ooh
staki wa vichochoroni
zipu nshafunga kwako weeeh
iweje nkuweke rolehani
na tetenasi nkulete
staki wa vichochoroni baby
zipu nshafunga kwako weewe
iweje nkuweke rolehani oh baby
na tetenasi nkulete
iyaaaa
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey wee
nimekuchagua oh honey
ooho hey!
hana maana nilomridhia oh
aliniacha nikitapatapa
hakuwa na huruma nilipomkosea
mi binadamu sijakamilika
akasahau mapenzi hayana kabila wala kwao
yoyote anatunukiwa
uhmm unayemuona kwako tahira ndo uyo uyo
mwenzako moyo anaujua
ya nini baby
staki wa vichochoroni
zipu nshafunga kwako wee
iweje nkuweke rolehani
na tetenasi nkuletee
staki wa vichochoroni baby
zipu nshafunga kwako weeweeh
iweje nkuweke rolehani ooh baby
na tetenasi nkulete
iyaaaa
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey we
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
honey, oh honey
nimekuchagua oh honey
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu maicon kuster › lirik lagu confessionário – maicon küster
- kumpulan lirik lagu atl › lirik lagu плохая (bad) – atl
- kumpulan lirik lagu kinderen voor kinderen › lirik lagu vaders allergie – kinderen voor kinderen
- kumpulan lirik lagu leftover crack › lirik lagu the lie of luck – leftöver crack
- kumpulan lirik lagu rancore dj myke › lirik lagu questo è un pezzo senza rime rmx – rancore & dj myke
- kumpulan lirik lagu e 40 › lirik lagu appreciation – e-40
- kumpulan lirik lagu b fachada › lirik lagu enquanto temos boa mão – b fachada
- kumpulan lirik lagu john kander › lirik lagu all that jazz – john kander
- kumpulan lirik lagu gemelli diversi › lirik lagu nessuno è perfetto – gemelli diversi
- kumpulan lirik lagu b nice › lirik lagu beef it up – b-nice