lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu i pray – leteipa the king

Loading...

#intro
mhhhhhh
ni vampk 254
na annie njeri weweeeeh

verse 1
kwanza nashukuru
kwa baraka na wema wako
kutwa nakufuru
hunibagui na zangu vako
iyeeeh
nje kuna kunguru, kunguru
wanataka nidhuru, nidhuru
ila waninusuru, nusuru
nafurahia uhuru
ninaishi lifetime ya cinema
kula kunywa ni kwa kubambanya
nibariki furaha na afya njema
hivyo vingine nitavisakanya
kuahidi sitatenda dhambi tena
nutakuwa ninakudanganya
ila nitajitahidi kutenda mema
bila dhulma wala kukwazana
ni wengi w*ngetamani
kupata yako hisani
mimi umenipa vyote cha ajabu
sina hata shukrani
nikitazama jirani
misikiti na kanisani
mimi ninaponda raha
sitoki kwa vyumba vya burudani
#chorus
( i pray ) nisamehe, nisamehe baba
( i pray ) nisafishe, nisafishe yesu
( i pray ) nikomboe, nikomboe baba
( i pray ) nisafishe kwa damu yako yesu

kama mwana mpotevu
alivyorudi kwa babaye
nami narudi leo
tena nataka kusamehewa
nimekutenda mengi yesu
leo natubu, natubu uuuuh
nimekutenda mеngi, yesu
leo natubu, natubu
bwaaana

#chorus
( i pray ) nisamehе, nisamehe baba
( i pray ) nisafishe nisafishe yesu
( i pray ) nikomboe, nikomboe baba
( i pray ) nisafishe kwa damu yako yesu
( i pray ) nisamehe, nisamehe baba
( i pray ) nisafishe nisafishe yesu
( i pray ) nikomboe, nikomboe baba
( i pray ) nisafishe kwa damu yako yesu

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...