lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kizero – leteipa the king

Loading...

verse 1
tufununu tumespread kwa mitaa, kwamba leteipa siku hizi anaitwa vampk
sijui ni kun’gu ama ni kichaa, soo yule tulimjua kipindi akiwa class eight
na kama rungu anatembea na guitar
ameacha kuimba choir sikuhizi anaimba mapenzi
na kitu moja chenye nina ihakika
akimaliza mwaka mmoja mniite mshenzi

maulana tenda jambo, wanangoja nifail waniuse kama example
ona tulikaonya kitamboo, kamekataa sa kameshikwa na mascundles
na kama bado mi ni wako, tafadhali nifungulie milango
wanipende kama kitambo, ngoma zangu ziskike kenya mpaka n’gambo

hook:
they said i messed up her sister, nikamfanya ahepe home
i acted like a evil teacher, nikafunza brother yake kuchoma ndom
wasn’t it for me and my еvil pictures, moto wa jirani angepeform
kuku zеnu tafadhali ficha, atazigeuza zikuwe form

chorus:
(am still me) sunday tukienda sunday school saa tisa kuwahi wrestling
(am still me) raima tukila mcheleku, gari za wire mpaka battery
(am still me) mnaniita msanii, kioo cha jamii
(am still me)mkimaanisha msanii, kizero cha jamii

verse 2
kanajifanya sharobaro
kila time ni ming’aro
kusumbua akina caro, kubrag mitani na miado za maparo
wazazi waliwaste karo
kusomesha huyo mtaro
hapo walitupa mbao heri w*ngebuy maziwa wakapike chai kwao..
ni w*ngap tumewaona wasanii
wameishia kwa mihadarati..
kanadhani kashakuwa katalii
kashaanza kuvuta bangi
hook:
they said i messed up her sister, nikamfanya ahepe home
i acted like a evil teacher, nikafunza brother yake kuchoma ndom
wasn’t it for me and my evil pictures, moto wa jirani angepeform
kuku zenu tafadhali ficha, atazigeuza zikuwe form

chorus:
(am still me) sunday tukienda sunday school saa tisa kuwahi wrestling
(am still me) raima tukila mcheleku, gari za wire mpaka battery
(am still me) mnaniita msanii, kioo cha jamii
(am still me)mkimaanisha msanii, kizero cha jamii

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...