lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nipende mimi – leteipa the king

Loading...

verse 1
umeketi, kwa corner, ukifikiria
vile maisha, ya mapenzi, yamekukalia
any shoe that, you admire, inawa  ndogo kwako dear
mpaka sasa, umeamua, peku kutembea
umesahau kiatu chako kipo
kimetengezwa tu kwa ajili yako

hook
ukiwa kwenye shiida
unajililia
ntakupa kitambaa, ujipanguzie
ntaketi kando yako, mpaka utulie
kisha nikuimbie, mpaka usinzie

chorus
labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio
yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio
they used you na sasa wanakuita kif*gio
but nipende mimi…
nipende mimi

verse 2
you think that, you are lonely
coz no one is close to you
and even those that, are closer, they never bother to fight for you
umeapa kamwe, hutawahi penda
juu wanaume wote, ni mafisi, mwishoni watakutenda
give me a chance to prove your statement is wrong
naapa kwa wote wanaoskiza this song
hook
labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio,kilio kiliiiiioo
hook
ukiwa kwenye shiida
unajililia
ntakupa kitambaa, ujipanguzie
ntaketi kando yako, mpaka utulie
kisha nikuimbie, mpaka usinzie

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...