
dr xolly-sitaki nataka official lyrics - dr xolly lyrics
yeeeahh
(dr xolly)
….smb…..(starbeats)
verse 1
hakuna utata nikila bata najua kila kona mi nanata nawee
nikizipata unanifata najua kila sekta nadunda nawee..wewee
uliyefanya niitwe mfalme,pendo lako kwa dakika kw-ngu karne
ukija na baridi la ukame,kwanza unavyonukia sitaki mi nihame
mpaka mahari natoa posho…natoa posho
we ndo mwali binti kisosho…binti kisosho
ukiwa mbali am not confidential…not confidential
bado natafakari na kesho..kesho..kesho
chorus
utanipenda kama sitaki nataka…kama sitaki nataka
nitakupenda vile kama sitaki nataka…kama sitaki nataka
utanipenda pia kama sitaki nataka…kama sitaki nataka
verse 2
mrembooo njoo tujenge malengoo
fundi wa mahaba fundi wa mijengo
mi malaya un-z-sikia hizo skendo
baba la mababa baada ya kufanya tendo
unapokaa unapoishi mi siwazi
kwenye vigodoro au mitaa ya uswazi
niletee ma shost hata kama majambazi
piga wote risasi mi ndo kama baba mzazi
nizalie watoto watoto kila uhuni
kw-ngu iwe changamoto moto bila kuni
mi ndo mbunifu mwenye mbinu za kubuni
mapenzi yapo kwako nimeachana na sabuni
bridge
(chorus)
Random Song Lyrics :
- yo quisiera - en vivo - reik lyrics
- que bello - alberto barros lyrics
- tennessee purchase - da grym reefer lyrics
- jaga hårt - raubtier lyrics
- the weight of the world on my shoulders - crystal splinters museum lyrics
- a quien vas a engañar - juan profundo lyrics
- autumn wind - erlend bratland lyrics
- bad - david guetta & showtek lyrics
- wonderful days - rave allstars lyrics
- freestyle - yanni k lyrics