lirik lagu mapenzi – marioo
sinyw*ngi mitungi
sivuti mafegi
eti iihhh
silagi mapepe
sina kilevi
chukua gari yangu kagonge kagonge
nitapeleka kwa fundi
itarudi mpyaa
chukua mali zangu zisombe zisombe
ila kwa bebi w*ngu
utarudi kibogoyo
ooh jamani naa viuu
napenda mapenzi
napenda kupendwa
ohh lalila lalaah
hata mkiskia
nimejinyonga
basi mjue
ye ameninyonga
mkiskia
nimejiua
basi mjue
ye ameniva
mapenzi
mapenzi
mapenzi
mapenzi
kama mapenzi ni pesa
basi sio shilingi
ya nani
ya nani
kama mapenzi shoo kali
afu sio kitandani
asa mapenzi ndio nini
na mbona nayapenda
hakuna raha hakuna raha
kama kuliliwa na mpenzi
kimapenzi nyie
ooh jamani nina viuuu
napenda mapenzi
napenda kupendwa
ohh lalila lalaah
hata mkiskia
nimejinyonga
basi mjue
ye ameninyonga
mkiskia
nimejiua
basi mjue
ye ameniva
mapenzi
mapenzi
mapenzi
mapenzi
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu ego ella may › lirik lagu beautiful days – ego ella may
- kumpulan lirik lagu eliana › lirik lagu o circo (chegou o circo) – eliana
- kumpulan lirik lagu lmt mexico › lirik lagu cómo se olvida – lmt (méxico)
- kumpulan lirik lagu cloudwatch › lirik lagu moonpools – cloudwatch
- kumpulan lirik lagu kubota › lirik lagu who i am – kubota
- kumpulan lirik lagu coms › lirik lagu mille-feuilles – coms
- kumpulan lirik lagu rosy crew › lirik lagu gonzaga’s death – rosy crew
- kumpulan lirik lagu 88xx › lirik lagu spleen (feat. ryn) – 88xx
- kumpulan lirik lagu janis ian › lirik lagu hunger – janis ian
- kumpulan lirik lagu kike pinto › lirik lagu río willkanuta – kike pinto