
wauwe - marioo lyrics
dengula nyonga msokoto
maana mimi nimekuja na bapa
masha luv wee lete watoto
wanyonyonga party za kukata
nyumbani mimi nimechoka
mavitu ya mama
nataka dhuluma dhuluma eeh
nipate ndogo ndogo baridi mwanana
[chorus]
kama kuna nyama choma fire
mapucho pucho
akikupa kwenye kona gwaya
nyuma kwa mbele, kulia, kushoto
wauwe! wauwe! wauwe! wauwe!
[verse 2]
maritili, ka dinner
na anataka piece kama wema
j*po kitu kama mkono, mkono
ata kwenye giza ndo kudema
mama mama jishikilie
nabadilikia kilimani
oooh mama mama nitilie
kama tandoni na ukokoni
[chorus]
kama kuna nyama choma fire
mapucho pucho
akikupa kwenye kona gwaya
nyuma kwa mbele, kulia, kushoto
wauwe! wauwe! wauwe! wauwe!
alkaida! na kama alkaida!
alkaida! na kama alkaida!
wauwe! wauwe! wauwe! wauwe!
Random Song Lyrics :
- ten typ - karol krupiak lyrics
- attentatore - giuggi situazione lyrics
- the gambler - dale watson lyrics
- bad boy tingz - young kaway lyrics
- night lover - harmony chea lyrics
- shout - yukino ushimaru lyrics
- sun breathing - chris tyk lyrics
- remedies - remedie lyrics
- сон (dream) - cloudeyes lyrics
- indifferent eyes - the mend lyrics