lirik lagu wauwe – marioo
dengula nyonga msokoto
maana mimi nimekuja na bapa
masha luv wee lete watoto
wanyonyonga party za kukata
nyumbani mimi nimechoka
mavitu ya mama
nataka dhuluma dhuluma eeh
nipate ndogo ndogo baridi mwanana
[chorus]
kama kuna nyama choma fire
mapucho pucho
akikupa kwenye kona gwaya
nyuma kwa mbele, kulia, kushoto
wauwe! wauwe! wauwe! wauwe!
[verse 2]
maritili, ka dinner
na anataka piece kama wema
j*po kitu kama mkono, mkono
ata kwenye giza ndo kudema
mama mama jishikilie
nabadilikia kilimani
oooh mama mama nitilie
kama tandoni na ukokoni
[chorus]
kama kuna nyama choma fire
mapucho pucho
akikupa kwenye kona gwaya
nyuma kwa mbele, kulia, kushoto
wauwe! wauwe! wauwe! wauwe!
alkaida! na kama alkaida!
alkaida! na kama alkaida!
wauwe! wauwe! wauwe! wauwe!
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu young east › lirik lagu yallah – young east
- kumpulan lirik lagu dj chari dj tatsuki › lirik lagu pop wing – dj chari & dj tatsuki
- kumpulan lirik lagu lil darkie › lirik lagu the kids are all retarded – lil darkie
- kumpulan lirik lagu heylasfas › lirik lagu overture – heylasfas!
- kumpulan lirik lagu phantom lord › lirik lagu mercyful soul – phantom lord
- kumpulan lirik lagu heylasfas › lirik lagu dawn – heylasfas!
- kumpulan lirik lagu wake rus › lirik lagu meteorite – wake (rus)
- kumpulan lirik lagu capt dyse › lirik lagu candle – capt dyse
- kumpulan lirik lagu d ear › lirik lagu rain is fallin’ – d.ear
- kumpulan lirik lagu loudblast › lirik lagu from dried bones – loudblast