lirik lagu rita – marlaw
ooh rita, rita
ooh rita, rita
ooh rita, rita
ooh rita oh no no no
sauti inasikika tega makini
hujui nani inamwita iih iih
chozi latoka nitazamapo angani
naona sura ya rita iih hii
ona mikono yangu mitupu
imezoea kukushika we
hata nyumbani kw*ngu haupo
umepotea sikuoni kamwe
ooh rita, ooh rita
daily nakuwaza wee
ooh rita, ooh rita
mimi nitanyamazaje?
aaah rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana
jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana
ila we unajua ni yako familia
damu yangu ya bongo si ya asia
ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa
k*mbuka ile mimba ndio iliyokufanya
ukaja kw*ngu (ulif*kuzwa kwenu)
ulijifunguapo mtoto na wote
mkaishi kw*ngu (ukawachukiza kwenu)
na taarifa ikaja kwako wewe rita
uende arusha nduguzo wanakwita
ukani*kiss kiss mimi na mtoto
nikakukiss hey hey
sauti inasikika tega makini
hujui nani inamwita iih iih
chozi latoka nitazamapo angani
naona sura ya rita iih hii
ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
imezoea kukushika we
hata nyumbani kw*ngu haupo (hata nyumbani kw*ngu)
umepotea sikuoni kwamwe (haupo)
ooh rita, ooh rita
daily nakuwaza wee
ooh rita, ooh rita
mimi nitanyamazaje?
ni tangu arusha hadi iringa simu inaita napokea unalia
kurudi iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia
ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee
mwanao *n*lia, ona mumеo ni bora ninywe pombe
ila kwa penzi uka*forcе kurudi
piga simu mume w*ngu nakuja
na maneno ya konda kwenye basi ulifika
alikupa siti ukakaa, ulipokaa ukakaa
ile siku mi nimelewa
niko mi na mwanangu k*mpokea mke w*ngu
konda akasema si wewe, ila tu mwili wako
sauti inasikika tega makini
hujui nani inamwita iih iih
chozi latoka nitazamapo angani
naona sura ya rita iih hii
ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
imezoea kukushika we
hata nyumbani kw*ngu haupo (hata nyumbani kw*ngu)
umepotea sikuoni kamwe (haupo)
ooh rita, ooh rita
daily nakuwaza wee
ooh rita, ooh rita
mimi nitanyamazaje?
ooh rita rita ahh na marco chali
ndani ya mj records
this is true story to marco
rita, rita, rita
aaah hata nyumbani kw*ngu haupo!!
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu george benson › lirik lagu give me the night (single version) – george benson
- kumpulan lirik lagu r2f officiel › lirik lagu ich liebe dich – r2f officiel
- kumpulan lirik lagu t3tri › lirik lagu чек (check) – t3tri
- kumpulan lirik lagu digital r y u › lirik lagu h o m e b o y – digital r y u
- kumpulan lirik lagu scott simms › lirik lagu i’m here (acoustic) – scott simms
- kumpulan lirik lagu emmsje gauti › lirik lagu eins og ég – emmsjé gauti
- kumpulan lirik lagu vanfifty › lirik lagu roses – vanfifty
- kumpulan lirik lagu aleksia › lirik lagu another day without u – aleksia
- kumpulan lirik lagu 24hrs › lirik lagu outro – 24hrs
- kumpulan lirik lagu babyllon › lirik lagu carolina – babyllon