lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kwa msaada wa mungu – martha mwaipaja

Loading...

kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
tunasonga mbele kwa sababu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

tunasonga mbele kwasababu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
tunasonga mbele kwa sasabu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

tunasonga mbele kwasababu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

nashukuru kwa sababu tunaye baba mwenye huruma
anayetuhurumia tupitapo kwenye matatizo
nashukuru kwa sababu tunaye baba mwenye huruma
aliyesema tusifadhaike mioyoni mwetu

asingekua pamoja nasi nani angekua nasi
asingekua mwenye huruma leo tungekuaje
asingetuhurumia baba nani angetushindia
asingekua mpole baba tungeenda kwa nani

tupo hivi tulivyo kwa sababu ya baba
tupo hivi tulivyo kwa sababu ya mungu
kwa msaada wa mungu tunashinda vyote

kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
tunasonga mbele kwa sasabu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

tunasonga mbele kwa sasabu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
tunasonga mbele kwa sasabu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

tunasonga mbele kwa sasabu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

ni mungu atabaki kuitwa mungu kw*ngu
amenipenda hata mimi, nisiyetazamiwa
ni mungu atabaki kuitwa mungu kw*ngu
amenipenda hata mimi nisiyetazamiwa

hivi nilivyo mimi leo, ni kwa neema ya baba
hivi nilivyo mimi leo, ni kwa neema ya mungu

angetazama elimu yangu, ni nani angenichagua
angetazama wenye pesa, mimi si chochote
angetazama elimu yangu, ni nani angenichagua
angetazama wenye pesa, mimi si chochote

nipo hivi nilivyo mimi, kwa neema ya baba
nipo hivi nilivyo leo, kwa neema ya baba

kwa msaada wake, nashinda yote, eh

kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
tunasonga mbele kwa sasabu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

tunasonga mbele kwa sasabu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
kwa msaada wa mungu tunashinda ya dunia
tunasonga mbele kwa sasabu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

tunasonga mbele kwa sasabu ya mungu
hatukati tamaa kwa neema ya mungu

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...