lirik lagu hodari – mbosso
[maneno ya wimbo ya “hodari”]
[verse 1]
shombe shombe
mtoto laini laini
anawaka waka
w-nga wape vidonge
nimebaini baini
wana tapa tapa
mi nawe mpaka kiama
tuombe uzima
waroge kwa kuchutama
na wasimame wima
kamwe hawatopata mwanya
habithi fitina
wapike mabilinganya
si tutoke dinner
[pre-chorus]
nalegea
ukintazama yako macho
yako macho
nalegea
ikigusana yangu na yako
yangu na yako
[chorus]
katoto hodari
hodari wa mapenzi
jamani hodari
hodari wa mapenzi
kwa michezo ya chumbani, hodari
hodari wa mapenzi
mtundu kitandani, hodari
hodari wa mapenzi
[verse 2]
katoto nykanga kamemzidi somo na kungwi
chumbani kiranga kinaish-ga komo kirungi
nisakata makiriri
kuniwasha ka pilipili
fundi haswa amekithiri
kunipa nilewe
kwasa kwasa ndani bingiri
za kukata saga kachiri
nani haswa unafikiri
kama si wewe
nichezeshe kidaruso usiku wa manane
vanga
nikande kipanda uso tufunikane
kanga
nipitishe boda la uko tutakutane
tanga
sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka
[pre-chorus]
nalegea
ukintazama yako macho
yako macho
nalegea
ikigusana yangu na yako
yangu na yako
[chorus]
katoto hodari
hodari wa mapenzi
jamani hodari
hodari wa mapenzi
kiueno kunengua, hodari
hodari wa mapenzi
bidu kujibidua, hodari
hodari wa mapenzi
[outro chorus]
wema sepetu hodari
hodari wa mapenzi
uwoya hodari
hodari wa mapenzi
mama cookie hodari
hodari wa mapenzi
mama dangote, hodari
hodari wa mapenzi
jack wolper, hodari
hodari wa mapenzi
zari mama tiffah, hodari
hodari wa mapenzi
esma khan, hodari
hodari wa mapenzi
elizabeth michael, hodari
hodari wa mapenzi
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu foxygen › lirik lagu i don’t have anything/the gate – foxygen
- kumpulan lirik lagu koldfront › lirik lagu solo – koldfront
- kumpulan lirik lagu scandroid › lirik lagu aphelion [maks_sf remix] – scandroid
- kumpulan lirik lagu sam bailey › lirik lagu never give up – sam bailey
- kumpulan lirik lagu the minds of 99 › lirik lagu i’m gonna die – live – the minds of 99
- kumpulan lirik lagu vargo the unworthy › lirik lagu vision – vargo the unworthy
- kumpulan lirik lagu lucy camp › lirik lagu rowdy – lucy camp
- kumpulan lirik lagu cira › lirik lagu prztyczek w nos – cira
- kumpulan lirik lagu medokin › lirik lagu trapgram – medokin
- kumpulan lirik lagu rasmus seebach › lirik lagu rasmus om “i mine øjne” – rasmus seebach