lirik lagu nipo nae – mbosso
(ayolizer)
masikini hana fuba, hana fuba
anazeeka yule mwezangu
haamini anavyochunda anachunda
nimeondoka na nyota yangu
nafsi ilichoka madhira (ooh madhira)
ya pundazo na fadhila (ooh fadhila)
nimempata wa njema dhamira (ooh dhamira)
wa kufunga magoli si wa bila (ooh wa bila)
mmmh shata shata (shata)
penzi limetaradadi
sina shaka (shaka)
inyeshe na ipige radi
rasha rasha (rasha)
kwetu mambo maji maji
baby washa washa (washa)
waambie wanaosubiria
bado nipo nipo nae
bado tupo sana tu (bado nipo nipo nae)
ndo kuanza tunayaanza (bado nipo nipo nae)
wenyewe tumeshazoeana (bado nipo nipo nae)
mi bado nipo na yeye
msitufuate, msitufuate
msitufuate, msitufuate
raha, raha mstarehe
sijaomba napewa
nifikishwe nitosheke
raha kila siku sherehe
jamani nanyenyekewe
eti nile nikogeshwe
penzi birika, yake sifai ni kimiminio
ah nimeshikwa, kwenye kichwa mpaka masikio
mambo tartita, ulichosusa hakula mwenzio
mwana ana sifa, ananipa paja kwa kipapatio
amekupenda mama tulia tulia
tule zetu ni ujana, dunia dunia
mambo ya wanadama, puuzia puuzia
wapasuke bandama, sindano ishawaingia
mmmh shata shata (shata)
penzi limetaradadi
sina shaka (shaka)
inyeshe na ipige radi
rasha rasha (rasha)
kwetu mambo maji maji
baby washa washa (washa)
waambie wanaosubiria
bado nipo nipo nae
bado tupo sana tu (bado nipo nipo nae)
ndo kuanza tunayaanza (bado nipo nipo nae)
wenyewe tumeshazoeana (bado nipo nipo nae)
mi bado nipo na yeye
(wasafi)
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu jul › lirik lagu j’ai trop laissé passer le temps – jul
- kumpulan lirik lagu lamar styles › lirik lagu dog dayz – lamar styles
- kumpulan lirik lagu akrra › lirik lagu alluring flesh – akrra
- kumpulan lirik lagu emowski › lirik lagu manykesz – emowski
- kumpulan lirik lagu nikc › lirik lagu jedziemy po zioło – nikc
- kumpulan lirik lagu nenhum de nos › lirik lagu descompasso – nenhum de nós
- kumpulan lirik lagu lli › lirik lagu mohami ma7koum bli3dam – lli
- kumpulan lirik lagu brock hames › lirik lagu when it rains – brock hames
- kumpulan lirik lagu biv › lirik lagu lav little is my valentine – biv
- kumpulan lirik lagu papoose › lirik lagu god mc – papoose