lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu 03. 3 disciples – mic gower

Loading...

[intro mic gower]
yeah! its your boy gower
remission you know we got it

[verse 1 sir mbezi]

ningeweza kuwa mvuvi, maisha yangu kwenye maji
ila mungu kanitunuku, kwa kunipa hiki kipaji
sijafungua chapter, ndo kwanza niko dibaji
maneno ya kuwa hasa, tusiishi ili mradi

na good ndani kristo, good siogopi kifo
w-ngapi wamepotea, mie bado nipo
sababu niko nae, niko ambae niko

wanashangaa kitu gani, ninasema
hawajui nikifa leo, nitaishi tena
yaan zaid ya mbele, am forever young, coz ntaishi milele

sipotezi muda, mi so yuda disign
zaid ya , record deal kwa yesu nimesha sign
hakunaga jipya, teyari nimesha buy

ndo maana mi disiciple, niko safe niko fiiineee
ndo maana mi disiciple, niko safe niko fiiineee

[chorus d.m.y]
injili kwanza mengine yatafta
tushakula kiapo kwamba kristo tutamfta
3 disciples tuna run this town

[verse 2 mic gower]

nimeanza rap , mwanzoni kabla sijaokoka
sikudhani shetani kama nitamshinda
najua ilikua taff, ukiplas ma peer pressure
mambo mengii niliopata huru kweli skuitaka

dear christian, usione kama watu hapendi
maybe wapo kama wale, wanajali si vya msingi
unahitaji kuamini, na sijamaanisha dini
ni mungu alie hai, yule aliontoa mi gizani

sasa nimeokoka, wananiita mlokole
nashukuru kanipa rap, ili nitangaze injili
kanipa bonge la clique, nisije potea vumbuni
kwa umaarufu wa mziki , na tamaa za kimwili

nimejawa graceeee
mungu w-ngu mwanzo na mwisho
line zangu, life yangu
kukiri kw-ngu, ndo wokovu w-ngu

amenichange yesss
r4c, bado inachange mziki
r.i.p bongo fleva, mziki wa yesu winning team
amenifia msalabani, niogope msala gani
siku ya 3 kafuf-ka , shetani kw-ngu bye bye
shetani kw-ngu bye bye..

chorus

[verse 3 g stanna]
am a disciple jembe la bwana shamba mkulima
kwake mavuno ni mengi watendaji fanya hima
mi ni…shaanza lima…kwa mistari yenye vina
na jumbe zilizosheheni ukweli tena kwa kina
nilipotoka ni shida, giza totoro
full noma, miba, milima visa na makorongo
maisha ya msoto, maji moto, just sorrows
no kitanda…..usiku kucha mi na vigodoro
namfuata aliyeniokoa toka gizani
aliyenitoa kifoni na kunileta mi uzimani
anayenipa amani, furaha isiyo kifani
maji ya uzima fanya hima njoo kisimani
amenifanya chumvi, pia nanu
full mbawa kama tai bye bye ukunguru
nipo huru…nafwata nyayo zake bila udhuru
sina hofu coz yu nami even through the tanuru (g- stana)