lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu bagamoyo – michael magow

Loading...

ah, ah, ah
ah, ah, ah
ah, ah, ah
washa, nyonga, vuta
ah, ah, ah
washa, nyonga, vuta
cha bagamoyo
kitu cha bagamoyo

kitu cha bagamoyo kitu kweli ni soo
kitu huwezi vuta uta bro
hichi kitu soo kitu kitam, kitu kitam, oh no
kitu flani amazing
nahitaji vitu kama hivi
mi ni kila, mi na waka, mi na jihisi nipo high
kitu cha bagamoyo (oouh)

ah, ah, ah
washa, nyonga, vuta
ah, ah, ah
washa, nyonga, vuta
cha bagamoyo
kitu cha bagamoyo

kitu flani ni safi
kitu purple sio kaki
sometime black and white
kina kufanya unakua happy
kina thamani zaidi ya laki
kitu clean hakina makapi
kitu flani cha ma rasi

kila mtaa kitu kitu kinawaka
kila masaa watu wana viwasha
kitu kinanipeleka higher
wanasema mi nipo on fire
kinanipeleka higher
wanasema mi nipo on fire

ah, ah, ah
cha bagamoyo
ah, ah, ah
kitu cha bagamoyo
ah, ah, ah
cha bagamoyo
ah, ah, ah
kitu cha bagamoyo

washa, nyonga, vuta
washa, nyonga, vuta
cha bagamoyo
kitu cha bagamoyo

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...