lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ex remix – mimi mars

Loading...

eheeh
mimi mars chuga queen

ushanitoa nuksi
kulalama lalama kisa penzi lanikoroga
we ndo mganguzi
ulionipa matibabu na ule utamu kunoga
vidusi wavimbe kiukweli kweli
vijuso vyao visio haya
wivu wasonge wenye kejeli
waficha nyeti kwa vijibwaya
bendera yafuata upepo
nilichotaka kishatimia
tunasubiri kuiona pepo
kwa vile jah katutunukia
ex nenda salama
wasalimie hao vimada wa bomu wenye biti
mwenzako nampa nyama
haichomi anaileta kama ikiwa mbichi

akinitomasa akinishika mpole mpole (mpole mpole)
akinuna akicheka mpole mpole (mpole mpole)
akinitomasa akinishika mpole mpole (mpole mpole)
akinuna akicheka mpole mpole (mpole mpole)
acha niwe king’ang’anizi kwako nigande kama ruba
mbona kw*ngu poa poa?
viwaki siwawezi maana watanipaga ruba
akili wataiboa
mtaka cha uvungu
sharti pinda mgongi na chini kuinama
panya akizama kwa tundu
mloweshe kwa maji akitoka amelowana
umenishinda ujuzi wewe kweli gwiji
umenifunga kiuno bila mgwiji
unanipa vinono ndizi na soseji
unanifuta chozi, unanifariji
ex nenda salama
wasalimie hao vimada wa bomu wenye biti
mwenzako nampa nyama
haichomi anaileta kama ikiwa mbichi
akinitomasa akinishika mpole mpole (mpole mpole)
akinuna akicheka mpole mpole (mpole mpole)
akinitomasa akinishika mpole mpole (mpole mpole)
akinuna akicheka mpole mpole (mpole mpole)
i say, no no sitaki tena
in case you don’t know
he is just like maradona
like maradona…
ex nenda salama
wasalimie hao vimada wa bomu wenye biti
mwenzako nampa nyama
haichomi anaileta kama ikiwa mbichi
akinitomasa akinishika mpole mpole (mpole mpole)
akinuna akicheka mpole mpole (mpole mpole)
akinitomasa akinishika mpole mpole (mpole mpole)
akinuna akicheka mpole mpole (mpole mpole)
translate to english

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...