lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu the future is now vol 6/on the beat ep 11 – motra the future

Loading...

kuliko niongelee marapa wa bongo

bora niongelee malapa uongo

maana wana sound ka yule poti anayetaka hongo

hawaoni mbele chongo, utadhani hawana ubongo

sijui wanamimba maana wanasound kama wanataka udogo

vimustach kidogo unajiona osama ful

wengi hamna hela na mnaona sana tuu

mnaimba mapenzi kila siku k*mbe drama tu

ndo maana juzi nikawaambia mtaachana tu

kuhusu mapenzi nlimwambia yasinta acomment

akaniambia ili mdumu mnatakiwa muwe na content

yaani lazma uchangamke kwa mwenzio

ili usipokuwa ak*misi siunajua raha ya mapenzi moments

kipindi tuko sua tuliokoa mtaa

saa hii tukiwaza shisha tunaokoa mkaa

ujue tulipata shida tukaondoa mzaa

matunda yamezaa

wale madem walikuwa hawanitaki leo waniita mimi toto

wananipeti peti eti twende lini coco

tukale mihogo, sijui wananiona mi ni locko

waambie siuzi sura , kwanza sipendagi mitoko

nyie si mliniambia mi sio size yenu

nyie ndo saa hii mmechakaa hamfai menu

mmekuwa madunga yembe hamkai kwenu

ujana mle mbali uzee ndo mlеtee kaeni mbali embu

hawa mamaku maku , wanaimba matapu tapu

halafu , hawana k*mi hata kwa baku baku

waogea malapu lapu , wanapotеa chap chap

wakiniona wanabonyea kama wanacheza shaku shaku

rap ya elisha , raf mcee, sight more ilikuwa shida

si ndo tulikuwa kings kabla ya kings wa alikiba

tatizo leaders, ikija michongo wanajiiba

walitumia unafki, na ulafi pengo kuliziba

ama beast anakataaa soro gani

huskii marapa w*n*lia kama nimeshika korodani

ooh, nawaimbisha utadhani ni mkongomani

af siogopi nawauwa toka mi solo army

nnajiamini hamnitingishi hata kope

mnajiita wakali na mnakaa kwa nyumba za matope

mnashindia chipsi hamjui kuna matoke

mnasingizia kwamba hampati mistari mpaka dope

leo niko intersourse, sija inter bila sourse

off cause, mwulize capo vile nishaforce

kuingia mjini sio mchezo mpaka kuitwa boss

wengine wanatoaga jicho wakija kimapoz

mjue mziki mi umefanya nikazuru mbali

umefanya manzi angu asinione dume suruali

saa hii nambadilishia mama mboga za ugali

mpaka walionihate now , wanakubali

aliyesema ukiona mishe haziendi nenda wewe

ye mwenyewe ni ki ben ten tu anangoja aletewe

ye kazi yake ni kupaka mundende tu kwa mkewe

na bado kila kazi ni mbovu lazma agongewe

nyie mnacheza , si dreamz tunachessa

nacheza na viungo vya madem zenu kama testa

boshen komesha , r.i.p donii na lexa

em piga saloot kwanza kisha sema yes sir

watoto wa mungu huwaga tunaamini

hatusumbukii ya kesho sijui tutakulaa nini

ni uhakika maishani baba anatuthaamini

nikiitisha chochochote kina kuja in a minute

waswahili toka wanapika majungu hayajakwiva

na huku mtaani tuna njaa mpaka tunapata fever

wanaoshangaa mi wa wapi kwa kile nnacho derliver

arusha mabegani kw*ngu mji w*ngu ni gueniva

najiskia furaha kuwa hapa , then

kama anavyojiskia ustadhi kuwa makka , and

hatujawahi ku fake hata siku moja tukapata fame

na saa hii hatu rep rep tunabaka , game

and am back again

baba ako pon de ting

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...