lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu wao – mwasiti

Loading...

unanijua nilivyo,
unanijua nilivyo,
umechukua moyo w*ngu wote mazima kaka we,
umechukua moyo w*ngu wote mazima kaka we,
unanijua nilivyo,
unaanijua kaka wewe nilivyo oh,
lakini wao oh, lakini waowaowaowaowao,
lakini wao oh, lakini waowaowaowaowao,
lakini wao oh, lakini waowaowaowaowao,
lakini wao oh uwoo,
uongo siwezi tena kwako we,
wengine sitamani tena kwingine,
moyo w*ngu, moyo w*ngu wakutaka wewe tuu,
akili yangu, akili yangu yakuwaza wewe tu,
moyo w*ngu kaka wewe, moyo w*ngu wakutaka wewe tuu,
akili yangu, akili yangu yakuwaza tuuoh
lakini wao oh, lakini waowaowaowaowao,
lakini wao oh, lakini waowaowaowaowao,
lakini wao oh, lakini waowaowaowaowao,
lakini wao oh uwoo

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...