lirik lagu saluti kwa mama – nadia mukami
saluti kwa mama
heshima kwa mama
pongezi mama
saluti kwa mama
mapenzi kwa mama
asante mama
saluti kwa mama
heshima kwa mama
pongezi mama
saluti kwa mama
mapenzi kwa mama
asante mama
ulijinyima ndio nipate
zile mateso nisikose
ulinipa vyako vyote
leo niko hapa juu yako
(juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)
mama, mama,(mmmhhh)
mama, mama (yeah)
mama, mama
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (uuuuu)
mama, mama (yeah)
mama, mama
naomba mungu akulinde
mwanamke shujaa
mke shupavu
ni wewe mama
mwanamke bomba
mke unangaa
ni wewe mama
na kwa yote (yote tutapitia aaa)
i will always be by your side
na kwenye mvua (kwenye mvua mama)
i’ll be your umbrella
i wanna, i wanna spend all my money
i wanna, i wanna treat you mummy
i wanna, i wanna love you forever mummy
nitafanya nitafanya chochote
(juu yako, juu yako, juu ya, juu ya, juu yako)
mama, mama,(mama)
mama, mama (mama)
mama, mama
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (uuuuu)
mama, mama (yeah)
mama, mama
naomba mungu akulinde
saluti kwa mama
heshima kwa mama
pongezi mama
saluti kwa mama
mapenzi kwa mama
asante mama
saluti kwa mama
nakupenda mama
pongezi mama
saluti kwa mama
nakupenda mama (yeah yeah)
mama, mama,(mmmhhh)
mama, mama(mama)
mama, mama (ohhhhh)
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (mama)
mama, mama (aahhh)
mama, mama
naomba mungu akulinde
mama, mama,(mmmhhh)
mama, mama (yeah)
mama, mama
bila we ningekuwa wapi
mama, mama (uuuuu)
mama, mama (yeah)
mama, mama
naomba mungu akulinde
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu lunetik a k a olwhatshisface › lirik lagu [tell me] what’s the hold up? – lunetik a.k.a. olwhatshisface
- kumpulan lirik lagu dj chop up › lirik lagu 2pac – 46 still on deathrow – dj chop up
- kumpulan lirik lagu joanne › lirik lagu peppermint feels – joanne
- kumpulan lirik lagu szach mat › lirik lagu wrzesień – szach mat
- kumpulan lirik lagu hit me tv › lirik lagu science fiction – hit me tv
- kumpulan lirik lagu chigratt › lirik lagu try for me – chigratt
- kumpulan lirik lagu dover d o v e r › lirik lagu maluco – dover d.o.v.e.r
- kumpulan lirik lagu miracle of sound › lirik lagu natural heart – miracle of sound
- kumpulan lirik lagu bleachers › lirik lagu wild heart (cover) – bleachers
- kumpulan lirik lagu dj weedim › lirik lagu décalage horaire – dj weedim