lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kiza kinene – nandy feat. sauti sol

Loading...

kiherehere kimeniisha,
leo nimekuwa simulizi kwa mpenzi wako,waninanga wee.
zaidi yanisikitisha, eti nimekuwa chuma cha kafuro, nipo juu ya mawe.

jikoni kw-ngu kaingia mdudu gani? mara kwenye kikombe mara sahani
ona katibu wa maji kisimani.
(oooh salala)
huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua…
(masala)
nimezidisha chenji, kimeota nyasi…
(mbaghala)
nilipita dirisha nafasi kuigombania…
(nikabanwa)
k-mbe basi limejaa, na mlango upo
haioni mboni yangu
(kiza kinene)
kibatari utambi umetumbukia
(kiza kinene)
yaila ghidira yangu
(kiza kinene)
nimepekechwa nguzo niliyoegemea
(kiza kinene)
ah… aah
i’ve been trying not to diss you…
mwenzako mimi nilikuwa sina issue mpenzi, hope uko sawa.
my darling…
and i’ve been trying not to miss you,
ila unapoenda kutwa yangu maumivu,we yangu dawa,
ooooh ooh
chumbani kw-ngu kaingia kunguni gani?
mara kwenye kitanda mara kwa shati aii, haya ni maruani
yanafanya nakosa amani
(oooh salala)
huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
(masala)
tushazamisha meli yameisha
(nabegha)
nitaambia nini waingo mukhana tire na (nikabanwa)
na mafeelings ingawa sijiwezi
hayaoni macho yangu
(kiza kinene)
koroboi utambi umetumbukia
(kiza kinene)
yaila ghidira yangu
(kiza kinene)
it’s never gonna be the same no no no no oooh
(kiza kinene)
oh.

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...