lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu aibu – nandy

Loading...

kimambo on the beat
oooh baby
mwenzako
mi nawashwa pabaya
ki uchokozi
ukinigusa gusa mie haya
wetu mtoko
mihogo bichi koko ooh
nidekeze kitoto
kachumbari kwa kijilio
i wanna be solo
na unifanye utakavyo
baby give me some more
ziteke zangu hisia
i wanna be solo
na unifanye utakavyo
baby give me some more
ziteke zangu hisia
aibu, aibu, aibu, aibu
aibu, aibu, aibu, aibu
nawaza imekuaje mmetumbukia
kina kirefu mble sioni
sholole chumbani umenitunukia
unipeleke ngara mtoni
umerishika idara
hallo hallo kwako fala oyo oyo
sina sera oyo oyo
kesho shela
i wanna be solo
na unifanye utakavyo
baby give me some more
ziteke zangu hisia
i wanna be solo
na unifanye utakavyo
baby give me some more
ziteke zangu hisia
aibu, aibu, aibu, aibu
aibu, aibu, aibu, aibu
aibu, aibu, aibu, aibu
aibu, aibu, aibu, aibu

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...