lirik lagu kivuruge – nandy
ulienipa maumivu mi kama nyang’au
na tena maumivu dawa ninywe vidongee
kwa marafiki mashost ukanidharau, hmm
ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
oh oho ulie nipa maumivu mi kama nyang’au
na tena maumivu dawa ninywe vidonge, hmm
kwa marafiki mashosti ukanidharau
ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
leo sina thamani ndo mana
unawafata milupo ooh baba
leo sina thamani eeh ndo mana ag
unawafata milupo oh baba
we niache ee
nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache ee)
nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
nitapona mdogo mdogo nitapona (aaah ooh)
mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi
hata zawadi nikikuletea hausemi asante
tena nashare hata bila kujua we hulidhiki kwa nini
kuna wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze
kw-ngu moyo we unauchanganya ah
umekuwa kivuruge unavuruga sana baba wee
kitu gani kwako mi sijafanya, eeh eeh
ama kuna mtu mnapendana sana
leo sina thamani ndo mana
unawafata ma-sister-du oh baba
leo sina thamani eeh ndo mana
unawafata ma-sister-du oh baba
we niache ee
nitapona mdogo mdogo nitapona (niache)
nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona kidogokidogo)
nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona mi)
nitapona mdogo mdogo nitapona
aiyoyoiyoooh
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu entis eternal › lirik lagu сжигаю (incinerating) – entis eternal
- kumpulan lirik lagu project vela › lirik lagu hey you – project vela
- kumpulan lirik lagu alliouminati › lirik lagu bad bitch – alliouminati
- kumpulan lirik lagu francis sky › lirik lagu ghosts – francis sky
- kumpulan lirik lagu cezar wok › lirik lagu inside of em – cezar wok
- kumpulan lirik lagu skyfixing purpleroselyn › lirik lagu chica – skyfixing, purpleroselyn
- kumpulan lirik lagu skepsis uk › lirik lagu secure the bag – skepsis (uk)
- kumpulan lirik lagu twinklewize › lirik lagu рассмеши меня (make me laugh) – twinklewize
- kumpulan lirik lagu louis farrakhan › lirik lagu a white man’s heaven is a black man’s hell remake – louis farrakhan
- kumpulan lirik lagu first and forever › lirik lagu give me up – first and forever