lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nigande – nandy

Loading...

kama penzi maruani pandaaa nikuaguee
kilingeni nipige manyanga kitatuliee
likishapanda nilivike tajii
jini la mapenziii usivunje n-z-i
kama kichanga nibembelezee mmmh
soba ya mapenzi dawa nimeze

usisome riwaya hadidhi wakaipata
penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
usisome riwaya hadidhi wakaipata
penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha

(aaaah nigandee)
utamu wako naujua miee
(aaaah nigandee)
usiniache nishikiliee

wanini msumari me puto nitapasukaeeeh ahaa
ndani mambo shwari sitaki ruka ruka eeeh ahaa
kitambaa nifute jasho tupendane leo kesho ooh
nif-kize manukato, ooh ooooh eeeh
njee sitotoa chako ooh, acha wanile kwa macho ooh
zabi zabi tumbo joto ooh oooh

usisome riwaya hadidhi wakaipata
penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
usisome riwaya hadidhi wakaipata
penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha

(aaaah nigandee)
utamu wako naujua miee
(aaaah nigandee)
usiniache nishikiliee

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...