lirik lagu nikumbushe – nandy
nirahisi kinywa kujawa na lawama tele
pale mambo yanapoonekana hayaendi
ni ajabu sana namna moyo unahangaika
ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba
j*pokuwa mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu
j*pokuwa mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu, ahh
nak*mbuka wana wa israel katika bahari yashamu
j*po walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi
kwa nyimbo nyingi waliimba na k*msifu bwanaa
lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa
yalibadilika mambo, manung’unikoo yalisimama
na kusahau muujiza alotenda bwana mwanzo aah
eee mungu nisaidie ee eeh
nik*mbushe wema wako nisije laumu
nik*mbushe ukuu wako wakati wa magumu
nik*mbushe shuhuda zako ili nikusifu
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
eeh ee mungu nisaidie
nisaidie kuk*mbuka baba yakwamba umenichora
kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh
na mimi umenionaa oooh ooo
nik*mbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa
yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleni
ouoh ooh yakwamba kama ungeniacha hatua moja
nisingelifika nilipo ooh eee babaa
umenikung’uta mavumbi, kung’uta
mavumbi mimi na kuniheshimisha
nik*mbushe wema wako nisije laumu
nik*mbushe ukuu wako wakati wa magumu
nik*mbushe shuhuda zako ili nikusifu
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
nik*mbushe wema wako nisije laumu
nik*mbushe ukuu wako wakati wa magumu
nik*mbushe shuhuda zako ili nikusifu
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
yesu nakutazama ninakuamini wewe
fungua maisha yangu, nisaidie nisilalamike
mbele zako, katika hali zote nijue upo
umesema hutaniacha eeh yahweh
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu horrible histories › lirik lagu real live cowboys – horrible histories
- kumpulan lirik lagu бабадук babadook › lirik lagu эвол (evol) – бабадук (babadook)
- kumpulan lirik lagu joakim molitor › lirik lagu 4u – joakim molitor
- kumpulan lirik lagu madeboyisreal › lirik lagu trapsound – madeboyisreal
- kumpulan lirik lagu lil hauki › lirik lagu kixstart – lil hauki
- kumpulan lirik lagu musiq soulchild › lirik lagu people everyday (metamorphosis mix) – musiq soulchild
- kumpulan lirik lagu prinz pi › lirik lagu kind ohne namen (rmx) – prinz pi
- kumpulan lirik lagu trail of murder › lirik lagu shades of art – trail of murder
- kumpulan lirik lagu fabiana palladino › lirik lagu shimmer – fabiana palladino
- kumpulan lirik lagu bright campa › lirik lagu broke days – bright campa