lirik lagu powerful – nandy
nilipotoka nilipona, na vijimateso nilionja
mola ananiongoza, najiepusha na ulofa
niko huku ako kule
huyu ndio mungu bwana hawezi vuruga game
na we ndo kinara huku ako kule
ameninyoosha sana nijajitambua
i am powerful, sababu yako
cause you’re powerful, zaidi yao
madugudugu, shauri zao
amani moyoni, kutoka kwako
zaidi, zaidi yao, zaidi
wahenga wahenga walisema aliyejuu mngojee chini
mimi msichana was kisasa siwezi suburia chini
niko gadogado, napambana bado
imani yangu kwako ndo nguzo kwako
niko gadogado, napambana bado
imani yangu kwako
i am powerful, sababu yako
cause you’re powerful, zaidi yao
madugudugu, shauri zao
amani moyoni, kutoka kwako
walisema sina na sitoweza weza kupata na ndo maana leo(wamefyata)
walisema sina nyota yangu ya punda ndo maana leo
i am powerful, sababu yako
cause you’re powerful, zaidi yao
madugudugu, shauri zao
amani moyoni, kutoka kwako
i am powerful
zaidi, zaidi yao, zaidi
sababu yako
zaidi yao
shauri zao
kutoka kwako
cause i’m powerful
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu roxi drive › lirik lagu video fantasy – roxi drive
- kumpulan lirik lagu liv e › lirik lagu you’re wasted let’s go home – liv.e
- kumpulan lirik lagu bantu crew › lirik lagu animal carnival remix – bantu (crew)
- kumpulan lirik lagu warpath › lirik lagu no more time to bleed ((thrashunion)) – warpath
- kumpulan lirik lagu william truelove › lirik lagu first night – william truelove
- kumpulan lirik lagu cro badchieff › lirik lagu fall auf – cro & badchieff
- kumpulan lirik lagu vinak › lirik lagu harshab – vinak
- kumpulan lirik lagu reborns › lirik lagu renacer – reborns
- kumpulan lirik lagu juniper vale › lirik lagu fractions (charlie crown remix) – juniper vale
- kumpulan lirik lagu bluee hibachi › lirik lagu rich – bluee & hibachi