lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu cheki nikiomoka – nash qash

Loading...

btw ni tbt
past life yaani rip
sai jo mi ni vip
suti tai kama cid
baadae nipate cbd
ganji kuflow tu kcb
madem huniita mvp
cd mi staki hiv
p2 achia madem mwitu

madem w*ngu out of ur league
nasaka dem kwa magazine
na sijawish ka aladin
na ka ni tei miukunywa gin
na ka unijui uliza jina
mdogo mdogo we tu skiza
vile flow mi nageuza
na ni, nimetii wasee watatu nitu me, myself and i
na madem ni watatu my ex, current na future wife
bonga matope lakini chini nikona gumboot
kama ni poko sbatishi walai heri aremis
mrembo ujinga sipendi mi ntakuwacha bila warning
nikikuwacha sirudi kama miguna miguna
kaa rada watu ni wa harsh sana kama twitter
skuiza wakona tabia kama zile za mike sonko

siri zako zote watasambaza kama credo
niccur unaringa na dem yako ni mali ya umma
ustake nijirudie kama miguna miguna
mi ndo general apa roho safi piga saluti
ka ameweza sipigi binja napiga firimbi
miugonga mhhh uliza mwende, shiro na akinyi
vitu mi natema ata msomali hawezi fika
vile niko fly we jua nimeshapata visa

ngoma ni motto ni ka ni ya og
yaani fire nikama dj lighter
teke teke mazee nikama fiber
leta beat nikurudishie hit
mistari ni mingi itabidi nigawie ma rappers
nimeposses industry wika holy ghost

nash qash ndio jina ah
flash piga picha na
trend hadi twitter
cheki ju nikipita
ju nisha pata visa sai ni birds eye view
cheki tu kwa dirisha sunset ndo view
kenyatta alifanya tupate uhuru
uhuru amefanya tupate madeni
michuki alisema tufunge mishipi
lakini nyi bado mwasambaza chuki
mif*ko imejaa na si mashilingi
madem ni warembo lakini mitaro
friend zone ata ka ameweza
chill nimade ii beat

eny meeny miny moe
najicheki kwa kwa kioo
juu chini swaga dior
circle yangu ma ceo
nina njaa yakuomoka tu ni ka nikona minyoo
nash qash ndo jina itabidi umechanuliwa

ha ha ha, eyy mazee siniliwasho
msicheze na nash qash, haa
wolan coda, wolan coda

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...