lirik lagu unyonge – nax melody
#verse
muda mwengine nafsi inahitaji tuliaa
vile hata mwili nao unahitaji pumzikaa
zile stress zakazini mamy we ndio wa kuzitoaa
purukushani za nini honey jua unaniboaa
kutwa kugombana kugombana
matusi kutukana kutukana
purukushani kutwa kucha nzimaa kipenziiii
tushaanza kulogana kulogana
na n*z* kupasuliana kupasuliana
kuku kuchinjiana chinjianaa
tutauwana bureee
mi nimefunzwa kupenda sio kupigaa(kupiganaa)
nikukuudhi am sorry tuepuke ya ujanaa
mi nimefunzwa kupenda sio kupigaa(kupiganaa)
nikukuudhi am sorry ruepuke ya ujanaa
#chorus
penzi la mnyonge
acha niwe mnyongee
penzi la mnyonge
acha niwe mnyongee
#verse
nikisema nikuache namuachia nanii
nikisema nikutupe bado utabaki moyoni
basi rudi nyumbani kipenzi hasira za ninii
uenda ile mistake stake usijitie ubayanii
hata pombe nitaacha bangi sitovutaa
isije penzi likachachaa mwishow ukanitupaa
hata pombe nitaacha bangi sitovutaa
isije penzi likachachaa mwishow ukanitupaa
mi nimefunzwa kupenda sio kupigaa(kupiganaa)
nikukuudhi am sorry tuepuke ya ujanaa
mi nimеfunzwa kupenda sio kupigaa(kupiganaa)
nikukuudhi am sorry ruepuke ya ujanaa
#chorus
pеnzi la mnyonge
acha niwe mnyongee
penzi la mnyonge
acha niwe mnyongee
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu sorry boys › lirik lagu absolutnie, absolutnie – sorry boys
- kumpulan lirik lagu baba blakes › lirik lagu hypnotized – baba blakes
- kumpulan lirik lagu flowgli › lirik lagu negan – flowgli
- kumpulan lirik lagu nation of language › lirik lagu former self – nation of language
- kumpulan lirik lagu muze sikk › lirik lagu sublime – muze sikk
- kumpulan lirik lagu tayno › lirik lagu drink water – tayno
- kumpulan lirik lagu chska › lirik lagu in the moonlight – chska
- kumpulan lirik lagu lizzie no › lirik lagu centralia – lizzie no
- kumpulan lirik lagu neal francis › lirik lagu sentimental garbage – neal francis
- kumpulan lirik lagu kwon ki baek 권기백 › lirik lagu 개소리 stupid talk – kwon ki baek (권기백)