lirik lagu baba – nay wa mitego
thanks god nimeamka salama
leo nimejikuta tu nakuk*mbuka baba
dingi leo nimekuja kwako
j*po sikutokea ata kwenye msiba wako
stori ni nyingi juu ya kifo chako
na mama *n*lalamika havimtoshi viatu vyako
nimeamini kweli kikulacho ki nguoni mwako
na wale wafuasi wako hawapo upande wako
ile benki ulojenga kwako sikuizi imekuwa bar
watu wanakunywa bia na hakuna anayeshangaa
kile kiwanja cha ndege sijui ungejega tu cha mpira
hakuna ndege inayotua labda kasuku na njiwa
uliemwacha mwenezi sio mwenezi tena
eti ana shule ya uongozi kifupi wamemtema
nae kawa kama mpinzani kutwa mama anamsema
dingi! huku ni salama ila team yako inatia huruma
baba baba baba, baba baba baba
baba baba baba, we baba wee
baba baba baba, we baba wee
baba baba baba, babaaa
baba baba baba, babaaa
baba baba baba, we baba wee
dingi najua haukunipenda sababu itikadi zangu
misimamo yangu na yako, maamuzi yangu
ndio maana leo kuongea na wewe wanashangaa
walimwengu hata mama sijui kama ananipenda ka wenzangu
washikaji wako wa machinga huku hali ni tete
wanaf*kuzwa mitaani sijui nani awatetee
wana mikopo wanasomesha ata sijui wataishije
na zile 20 zao mlichukua ili iweje
kipenzi chako saba kala mvua 30 jela
ila mwanao konda bado yupo uraiani allah
na mama anapambana kutulinda na maradhi
watu wanachanja na anasisitiza twendelee na kazi
ila wkwa taarifa hii najua haito kush*tua
freeman anasota maabusu anasubiri kuhuk*miwa
dingi mambo ni mengi muda ni mchache
endelea kupumzika mzee nisikuchoshe
baba baba baba, ulale ulale
baba baba baba, ulale ulale
baba baba baba, ulale ulale
baba baba baba, ulaleeee
baba baba baba, ulale ulale
baba baba baba, ulale ulale
baba baba baba, ulale ulale
baba baba baba, ulaleeee
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu dear agony › lirik lagu screams in my head – dear agony
- kumpulan lirik lagu cam blake › lirik lagu self worth – cam blake
- kumpulan lirik lagu nomad › lirik lagu tanda setia – nomad
- kumpulan lirik lagu gozde oney › lirik lagu iki gölge – gözde öney
- kumpulan lirik lagu mizuki nana › lirik lagu 空時計 (idle clock) – mizuki nana
- kumpulan lirik lagu sfkreapper › lirik lagu futere de mama – sfkreapper
- kumpulan lirik lagu luis7lunes › lirik lagu galopa – luis7lunes
- kumpulan lirik lagu the outlaws southern rock band › lirik lagu rattlesnake road – the outlaws (southern rock band)
- kumpulan lirik lagu roxeno › lirik lagu like that – roxeno
- kumpulan lirik lagu supersuckers › lirik lagu we’ll call it christmastime – supersuckers