lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu niote – ndelah

Loading...

ulonifanya niote,njozi niote yanijie yale ya chumbani
kilichofanya uondoke kwenye mabano bado sijajua asilani
eti maskini baby,nimesikia wananong’ona majirani
kw-ngu hukusema lolote,niliona tabasamu k-mbe waning’ong’a kwa moyoni

kama ulijua hatufanani,usingenikubali asilani
ya kw-ngu ukaweka hadharani,tungemaliza wewe na mimi
kama ulijua hatufanani usingenikubali asilanii
ya ndani ukaweka hadharani,tungemaliza wewe na mimi

ungenieleza nilipokoseaa hata magoti ningepiga
ungenieleaza nilipotelezaaa ooh hata machozi ningefutaa
ungenieleza nilipokoseaa baby hata magoti ningepiga
ungenieleaza nilipotelezaaa ooh hata machozi ningefuuuutaa

why why why me me,me nakasoro ganii?
nasikia mimba yangu umetoa,insha allah mola atajalia
mwenye makosa ni mimi nilikuwa,nini mwanangu alikosea?
usiku mchana mi naliaa ooh baby nakuombea dua
shetani gani alikuingiaa? bora mapema ungegunduaa

kama ulijua hatufanani,usingenikubali asilani
ya kw-ngu ukaweka hadharani,tungemaliza wewe na mimi
kama ulijua hatufanani usingenikubali asilaniii
ya kw-ngu ukaweka hadharaniii,tungemaliza wewe na mimi yeeh

ungenieleza nilipokoseaa ooh hata magoti ningepigaa
ungenieleaza nilipoteleza oooh ooh hata machozi ningefutaa
heey
ungenieleza nilipokosea baby yeh hata magoti ningepiga
ungenieleza nilipoteleza baby hata machozi ningefuuuutaaa ooh

heiyeye heiyeee enh,hata magoti nimepigaa aah
hata machozi ningefuuu-uuta
hata machozi ningefutaa

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...