lirik lagu tukanyamaza – nduati
[chorus: nduati]
tuliongelea abisai tukanyamaza
khaligraph na kutoa tint tukanyamaza
tukaongelea githeriman tukanyamaza
lakini neno la bwana bado linasimama
abisai? tukanyamaza
kutoa tint? tukanyamaza
githeriman? tukanyamaza
lakini neno la bwana bado linasimama
[verse 1: nduati]
wasichana waliomba, wakitaka chiloba
kusikia ameoa, wakarudi sober
alafu kukakuja huyu wavinya ndeti
methali akaharibu kama pesa za betting
eti eh, “yaliyo ndwele sipite”
woi mtu asimamishe dunia nishuke
alafu kila mtu akaingia sarahah
after siku tatu washachoka na sarahah
alafu kila mtu sgr
alafu kila mtu tunaenda kanaani
issawhile izi jina sijaskia
zimekuwa ka zile hekaya za zamani
tuliongelea hizi zote tukanyamaza
but waza, unasema haijawai kukushangaza
that neno la bwana bado linasikika
btw, bado watu hubonga ju ya sidika?
[chorus: nduati]
tuliongelea abisai tukanyamaza
khaligraph na kutoa tint tukanyamaza
tukaongelea githeriman tukanyamaza
lakini neno la bwana bado linasimama
abisai? tukanyamaza
kutoa tint? tukanyamaza
githeriman? tukanyamaza
lakini neno la bwana bado linasimama
[skit]
haya basi wananchi
basi tumkaribishe rais wa genge
[verse 2: silvah mistarish]
hivi ndivo me hureason
round hii tukikosana kwa ndoa hakuna kwenda
ukijam nakuambia tano tena
beat ni flames imebidi nitende wema
tumesota lakini hatuhami fedha
tunapendana si ni ma brother
tumepanga ikae tunapigana
nipoa ku trend but ild rather
nikose ya dunia na nisikose za father
tuliongelea mayweather – tukanyamaza
transformer na stima nyeri -tukanyamaza
zilizopendwa tuliimba na -tukanyamaza
rhumba si tuli katika – kila sitanza
batimayo hadi leo si hatujanyamaza
hannah na sarah bado hatujanyamaza
ukilishwa fish na mkate, utanyamaza?
tumekopa story ya doh, bonga tunanyamaza
[chorus: nduati]
tuliongelea abisai tukanyamaza
khaligraph na kutoa tint tukanyamaza
tukaongelea githeriman tukanyamaza
lakini neno la bwana bado linasimama
abisai? tukanyamaza
kutoa tint? tukanyamaza
githeriman? tukanyamaza
lakini neno la bwana bado linasimama
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu mike posner › lirik lagu what lovers do – mike posner
- kumpulan lirik lagu sezen aksu › lirik lagu yansın istanbul – sezen aksu
- kumpulan lirik lagu migos › lirik lagu drip (remix) – migos
- kumpulan lirik lagu k beezy › lirik lagu primavera – k beezy
- kumpulan lirik lagu dudu nobre › lirik lagu reverendo blá, blá – dudu nobre
- kumpulan lirik lagu squidnice › lirik lagu a lot – squidnice
- kumpulan lirik lagu blu › lirik lagu interlude – blu
- kumpulan lirik lagu joey pass › lirik lagu find my way – joey pass
- kumpulan lirik lagu kirby krackle › lirik lagu rainbow bridge – kirby krackle
- kumpulan lirik lagu iolande melody › lirik lagu now – iolande melody